sentino2015
Senior Member
- Apr 9, 2015
- 176
- 30
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia hoja zetu katika katiba PENDEKEZWA!mwingine unakuta anabisha na kusema hapana kwa katiba pendekezwa wakati Hana Upande wa ndiyo!sasa ujenzi wa taifa lolote hapana bila sababu ya msingi ni ufarisayo!taifa litajengwa na wenye moyo hebu tufikiri kwa maunufaa na si kufikiri kwa Hamasa zisizo na dira!nauliza hivi kweli katiba pendekezwa yaweza kubezwa kirahisi kwa madai Kuwa haifai bila hata kuisoma na kuielewa?

