KATIBA PENDEKEZWA,Ni VIZURI KUWA NA HOJA KULIKO UBISHI BILA DIRA

KATIBA PENDEKEZWA,Ni VIZURI KUWA NA HOJA KULIKO UBISHI BILA DIRA

Jamani watu wenye mawazo yakutugawa ni wakuogopwa kama ukoma,katiba imayopendekezwa ni yetu sote na hatuko tayari kuwaruhusu watu wachache wapandikize mbegu za chuki,kama wewe sio mtanzania huwezi kuwa na uchungu na nchi hii,yuachie nchi yetu,katiba inayopendekezwa tumeandika wenyewe na tutaipigia kura ya ndioo........wakati ukifika.si katiba yetu.
 
Mteule Junior, Watanzania, hawa wapotohaji tuwapuuze maana hawana lolote jipya zaidi ya kuwapotosha wananchi. Wewe, mimi na Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao tutaijenga kwa moyo mmoja, roho moja na kwa uaminifu wote ili vizazi vijavyo waje wafurahiye nchi yao yenye upendo, amani, ushirikiano, misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, utulivu, umoja na mshikamano miongoni mwa Watanzania. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake, Mungu utuepushe na wenye macho ya husda na nchi yetu.
 
KUNA HASAR ZIPI TUNAZIPATA IKIWA TUTAIKUBALI AU KUIKATAA NA KUNA FAIDA ZIPI ZAKUIKUBALI NA KUIKATAA?.endapo itakataliwa itaanzwa upya au vipengele vinavyoleta utata ndo vinafanyiwa maboresho.TUSIWE WABISHI TUWASIKILIZE KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAM NA WANASHERIA WENGINE WATUPE MWONGOZO TUSIJE KUJUTA KWA SABABU YA UBISHI.TUWAACHIE WATAALAM WA SHERIA ILA SIO WANASIASA NA KUNDI JINGINE LINALOFUNGAMANA NA WANASIASA .
 
Mchakato wa katiba ni wa wananchi hapa hakuna kurudi nyuma hakuna kumwachia mtu, wala katiba hii sio ya mtu au kikundi fulani ni yetu sote, ni kuisoma na kuielewa afu kuchukua hatua ya kupiga kura mambo ya kusema tunawaachia kikundi fulani watuamulie ni kushikiwa mawazo,twende kupiga kura kwanza!
 
Back
Top Bottom