sentino2015
Senior Member
- Apr 9, 2015
- 176
- 30
View attachment 242625
Kijana TIMIZA WAJIBU WAKO KWA FAIDA YA TAIFA
hajielewei huyo kaka achana naye maana hiyonavatr yake na mwenyewe anaonekana kuwa akilimzakemhazina akili.Ubarikiwe kwa kuielenzi moja ya alama ya Taifa letu, Bendera ya Taifa. Ambayo imetajwa ndani ya Katiba Inayopendekezwa sura ya kwanza Ibara ya 3!Watanzania wa sasa hawana mawazo kama yako wanajielewa na wataipigia kura kuipa ridhaa katiba inayopendekezwa ili kuona fikra mgando na utovu wa nidhamu wa kuchezea alama ya utambulisho wa Taifa la Tanzania kwa kuweka art work!! Hii inaonyesha ni jinsi gani usivyokuwa na uzalendo,usivyojli utaifa wako na usivyokuwa na msaada wa aina yoyote kwa taifa la Tanzani.
unaandika kama unakimbizwa jabza za nini unataka tufanane mawazo wote labda upeo wako wa kufikiria ndo umeishia huna jipya taifa la tanzania halihitaji vijana wenye upeo mdogo kama wako linahitaji vijana wenye uzalendo wenye uwezo wa kukemea uovu wa serikali bila woga tambua humu JF kila mtu ana huru wa kutoa maoni yake kwa uhuruUbarikiwe kwa kuienzi moja ya alama ya Taifa letu, Bendera ya Taifaa japokuwa huna heshima kwa nchi yako, alama hii muhimu imetajwa ndani ya Katiba Inayopendekezwa sura ya kwanza Ibara ya 3!Watanzania wa sasa hawana mawazo kama yako wanajielewa na wataipigia kura kuipa ridhaa katiba inayopendekezwa ili kuona fikra mgando na utovu wa nidhamu wa kuchezea alama ya utambulisho wa Taifa la Tanzania kwa kuweka art work!! Hii inaonyesha ni jinsi gani usivyokuwa na uzalendo,usivyojli utaifa wako na usivyokuwa na msaada wa aina yoyote kwa taifa la Tanzani.
hajielewei huyo kaka achana naye maana hiyonavatr yake na mwenyewe anaonekana kuwa akilimzakemhazina akili.
hajielewei huyo kaka achana naye maana hiyonavatr yake na mwenyewe anaonekana kuwa akilimzakemhazina akili.
View attachment 242625
Kijana TIMIZA WAJIBU WAKO KWA FAIDA YA TAIFA
Hakuna wahuni wa ccm kule mwaka huu tunataka kusafisha kabisa hao masalia waliobakia.A Town noma!
wapuuzi nyie mnajidanganya kwanza wenzenu katiba wameikubali na wameahidi kusema Ndiyooo, nyie viraka hamjitambui ndo mnaocuta bangi na kunywa viroba mtaani.Hakuna wahuni wa ccm kule mwaka huu tunataka kusafisha kabisa hao masalia waliobakia.
kwasabu wewe ni mkimbizi na mhamiaji haramu humu nchini wala ckushangai kabisaaa.Naunga mkono hoja!
sasa kama mmeshahadiwa kura za ndiyo mbona mnaweweseka sana wajinga nyiewapuuzi nyie mnajidanganya kwanza wenzenu katiba wameikubali na wameahidi kusema Ndiyooo, nyie viraka hamjitambui ndo mnaocuta bangi na kunywa viroba mtaani.
wewe weka katuni weee lakn majibu yake utayapata cku inapopita hii katiba ndo utajifuma kuwa ulikuwa unapoteza muda wako bureee kabisaaa.sasa kama mmeshahadiwa kura za ndiyo mbona mnaweweseka sana wajinga nyie
View attachment 242869
haya ngoja tuone huu mchezo wenu
hoja za kijinga kutoka kwa mtu mjinga.kwasabu wewe ni mkimbizi na mhamiaji haramu humu nchini wala ckushangai kabisaaa.
mwaka huu mtakuwa machizi kura za katiba yenu ya ccm zinapigwa liniwewe weka katuni weee lakn majibu yake utayapata cku inapopita hii katiba ndo utajifuma kuwa ulikuwa unapoteza muda wako bureee kabisaaa.
wewe ndo maana nakwambia hujitambui, endelea kupoteza mda wako mwisho wa siku najya utapiga Ndiyoo maana kura ni siri ya mtu.mwaka huu mtakuwa machizi kura za katiba yenu ya ccm zinapigwa lini
kwasabu wewe ni mkimbizi na mhamiaji haramu humu nchini wala ckushangai kabisaaa.