KATIBA PENDEKEZWA,Ni VIZURI KUWA NA HOJA KULIKO UBISHI BILA DIRA

Kwa taarifa yako niko timamu kuliko wewe!huwezi kushabikia ujinga afu ukaachwa tu kwani nakuogopa, hilo haliwezekani,kama unafikiri muda wa kuzuga watu umefika close your uondoke!Wantanzia wameshaanza kujipanga kupiga kura wanasubiri siku ifike iwe mvua, jua au masika,hiyo katiba itaungwa mkono!l
 
Kwa watanzania tulio makini tunatambua kuwa katiba inayopendekezwa ni matunda ya maoni yetu hivyo ni lazima tujiandikishe na wakati ukifika tupige kura ya maoni kwa nguvu zote ili taifa lisonge mbele,watanzania wenzangu nchi yetu tuijenge kwa kuweka uzalendo mbele,tanzania kwanza
 
wewe ndo maana nakwambia hujitambui, endelea kupoteza mda wako mwisho wa siku najya utapiga Ndiyoo maana kura ni siri ya mtu.

hizo kura zinapigwa lini wewe mwehu
 
Kamuulize mmeo hayo maswali ya kipuuzi, kwani we unaishi nchi gani hata usilolijua linaloendelea. Wanapiga leo!

kutukana ni dalili za kuishi hoja mimi sina muda wa kushindana na muovu kama wewe
 
Wewe unashabikia nini sasa hapa hujui taifa lako linakwenda wapi?hufuatilii taarifa za nchi yako unakalia kulipuka tu!subiri utaambiwa siku na Tume ya uchaguzi.

una mawazo mgando kama akili yako wamekutoa lini mirembe wewe kichaa.
 
Wewe umejaza nini kama sio uzandiki na unafiki!

ukishindana na kichaa na wewe unaweza kuonekana ni kichaa bora nkuache wewe kichaa unaendelea na mawazo yako kinafiki na kimbea hivi wewe ni jinsia gani kwanza usikute nashindana na demu .
 
ukishindana na kichaa na wewe unaweza kuonekana ni kichaa bora nkuache wewe kichaa unaendelea na mawazo yako kinafiki na kimbea hivi wewe ni jinsia gani kwanza usikute nashindana na demu .

Nina jinsia uliyonayo wewe,ha ha ha na kweli mawazo yako mbilikimo badala ya kuweka hoja unauliza jinsia au wewe ni mbakaji nini?
 
View attachment 242625
Kijana TIMIZA WAJIBU WAKO KWA FAIDA YA TAIFA
Acha kutumia bendera ya Taifa vibaya. Wewe unaonekana hata unachokisema hukijui. vinginevyo ungesema kwa hekima ndogo tu kuwa tuisome vizuri Katiba Inayopendekezwa na kuielewa vizuri na mwisho wa siku tufanye maamuzi sahihi. Informed decisions. Mambo ya kusema hapana tu bila msingi hayo waachie watu wa kijiweni ambao hata hawajaisoma Katiba Inayopendekezwa. Nadhani umenielewa na utabadilika kwani si kosa lako bali malezi uliyolelewa ndiyo shiida!
 
View attachment 242998
hawa ndo wako sahihi kwa upeo wako mdogo wa kufikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…