Katiba pendekezwa

Katiba pendekezwa

We kama unawekewa mb8 plus jero jero na Ukawa kazi kwako, mie nawka kwa pesa zangu na bhana we si ndo mchumia tumbo ndo mana toka asubuhi uko humu ndani wala hukauki. Hahahaha

Naona imekuumiza sana pole kwa hilo piga hesabu tangia asubuhi hadi sasani mb ngapi zimetumika? Pole sana kiongozi
 
Mie nimeingia jioni hii ila,wewe tokea asubuhi kisa kazi ya Ukawa, duh hata kama Ukawa wakiamua kukuoa wewe kijana kisa pesa zao wala ctoshangaa maana wao wanakutumia kama ndala a.k.a kandambili hahahaha
 
Pole sana kwa maumivu mkuu
 
Naona imekuumiza sana pole kwa hilo piga hesabu tangia asubuhi hadi sasani mb ngapi zimetumika? Pole sana kiongozi
Mtaendelea kutumika kama viatu mpaka kufs kwenu na hamtaambulia kitu zaidi ya jero jero za Mbowe na Dr. slaa a.k.a Dr. Wa uzinzi
 
Wewe siyo size ya kunielimsha kwani kutokana na post zako size zako ni div 5
Sawa kama mimi div 5 hivi ulisikia wapi Mmawia kasoma hadi kufikia walau darasa la 2 kule msingi? Wewe ni mmawia pori kwenu msumbiji, huku umevamia tu na nahc umenunuliwa na ukawa uje kupinga katiba, hahahaha
 
Mtaendelea kutumika kama viatu mpaka kufs kwenu na hamtaambulia kitu zaidi ya jero jero za Mbowe na Dr. slaa a.k.a Dr. Wa uzinzi

Kwa kuwa umeamua kuwavunjia heshima wakuu wa chama,hilo ni kwako nami sihusiki na hilo kwani matusi si jadi yangu.
 
Ukiamua kutoa elimu basi toa elimu bila ya kujali ubaguzi wa rangi na ukabila,si unajua ualimu ni wito?
Endela kupiga jero jero maana si uko shift na wenzako, hivyo ckushangai hata, mi sio mwalimu kama walimu mmeajiriwa kwa kazi hiyo na Ukawa basi njaa zitawaua mwaka huu maana ajenda zote za Ukawa mara nyingi zinafeli
 
Endelea kujipa matumain mkuu.
 
Kwa kuwa umeamua kuwavunjia heshima wakuu wa chama,hilo ni kwako nami sihusiki na hilo kwani matusi si jadi yangu.
Tena ukawaambie hao maboss wako wa Ukawa kwamba waache kutangatanga na kuwatumikisha nyie kama mifagio ya chooni, vyeo vinatoka kwa Mungu na sio kwa kuforce kama afanyavyo Mbowe na Dr. Wa uzinzi huyo
 
Endelea kujipa matumain mkuu.
Leo nataka uachane kabisa na uchumia tumbo ndo mana nakutwanga kwa point tuuu, maana vijana wengi mmenunuliwa na Ukawa na kibaya wanawadanganya kuwa mtapewa na vyeo hahahahaha huyo dr. Slaa upadre wenye ulimshinda atauweza urais? Tamaa mbele mauti nyuma
 
Tena ukawaambie hao maboss wako wa Ukawa kwamba waache kutangatanga na kuwatumikisha nyie kama mifagio ya chooni, vyeo vinatoka kwa Mungu na sio kwa kuforce kama afanyavyo Mbowe na Dr. Wa uzinzi huyo

Hongera sana kwa lugha yako chafu,ila naamini hayo yote ni malezi toka kwa waliokulea ya kutowaheshimu hata viongozi wako kwani hata dini zote zinakataza kumdharau mtu yeyote yule hasa aliyekuzidi kwa umri.
 
Endelea kujipa matumain mkuu.
Sitojali uko zamu ya kuingia humu jf mchana kiasi unahitaji mwenzio umwachie lindo la usiku mimi nakuchana live makavu nje nje mpaka utie adabu na uchelewe kutoka lindo
 
Hongera sana kwa lugha yako chafu,ila naamini hayo yote ni malezi toka kwa waliokulea ya kutowaheshimu hata viongozi wako kwani hata dini zote zinakataza kumdharau mtu yeyote yule hasa aliyekuzidi kwa umri.
nani kakudanganya kuwa Mbowe na Slaa ni viongozi wangu? Weee hao ndo maboss wako walokutuma na ni wachumia matumbo na wapenda vyeo namba moja na ndo mana hawafanikiwi hata cku moja, wameng'ang'ana kweny viti toke miaka ya 90 na kitu ctowaheshimu wachumia matumbo kama hao hata cku moja tena kawaaambie kabisa kuwa hao ni vilaza na vipopoleo wanaopoteza muda wao
 
Pole sana kwa maumivu mkuu
Naona umetoka nduki ama utakuwa unamwachia mwenzio lindo. Maana mmekuwa wazee wa lindo humu jf, mnapishana kama daladala hahahaha hapana chezea njaaaaaaaa wewe
 
Naona imekuumiza sana pole kwa hilo piga hesabu tangia asubuhi hadi sasani mb ngapi zimetumika? Pole sana kiongozi
Naona mb8 zako zimekata gafla au la simu yako kimeo imekata moto, pole sana omba msaada wa simu ya Mbowe afu uingie tena ulambe zako za uso hapa, au ndo unakabidhi lindo kwa mmachame mwingine? Hahahaha njaa itawaua nyie vijana wa Ukawa
 
Sitojali uko zamu ya kuingia humu jf mchana kiasi unahitaji mwenzio umwachie lindo la usiku mimi nakuchana live makavu nje nje mpaka utie adabu na uchelewe kutoka lindo

Ukitaka kujua uelewa wa mtu ongea naye kipindi kirefu utamjua tu,hivyo tayari nishakusoma akili yako ipo vipi.
 
Naona mb8 zako zimekata gafla au la simu yako kimeo imekata moto, pole sana omba msaada wa simu ya Mbowe afu uingie tena ulambe zako za uso hapa, au ndo unakabidhi lindo kwa mmachame mwingine? Hahahaha njaa itawaua nyie vijana wa Ukawa

Utakufa wewe na presure maana hutoamini utakacho ambulia,kikubwa ni subira
 
Back
Top Bottom