Katiba ya Kenya: Kesi zinaendeshwa live, huku itatuchukua miaka 200 kufika

Wewe ni wa kupuuzwa. Unajua naishi wapi? Halafu unaweza ukaishi mpakani na bado ukawa mpuuzi tu.
Ukweli Kenya inayo midddle class kubwa ambayo inafaidi uchumi wa kati. Maskini pia wapo kama ilivyo dunia nzima hasa Afrika.
 
Hapana mkuu. Bado ni: the truth will set us free. Covid haitaki uongo.
Tatizo ccm mabingwa wa frustrating/dashing hopes na aspirations za watanzania hadi heavenly intervation. God works in mysterious ways ikiwemo kushusha plague kama ilivyo hadithiwa kweye biblia.
 
Hizo ni mbembwe tu hapa Tanzania kama hufahamu kesi zote isipokuwa zinazohusiana na maswala nyeti ya usalama wa nchi au ubakaji wa mtoto mdogo Kila mtu anaruhusiwa kwenda kusikiliza.

Hakuna mtu anakatazwa kuingia mahakamani na kusikiliza kesi.
Kenya sio kwenda kusikiliza bali inarushwa live
 
Hakuna teknolojia zaidi ya hiyo waandishi wanayotumia kwenye press za Zuchu.
Acha ujuha.ni live bcs wameinvest kwenye technology. Mwambie waziri wako abadilishe mindset
 
Unajua tofauti ya kusikilizwa na kuonyeshwa live kwenye TV?
Hizo ni mbembwe tu hapa Tanzania kama hufahamu kesi zote isipokuwa zinazohusiana na maswala nyeti ya usalama wa nchi au ubakaji wa mtoto mdogo Kila mtu anaruhusiwa kwenda kusikiliza.

Hakuna mtu anakatazwa kuingia mahakamani na kusikiliza kesi.
 
Sasa hivi Statesman tena umerudi kuwa stroke?!
Hizo ni mbembwe tu hapa Tanzania kama hufahamu kesi zote isipokuwa zinazohusiana na maswala nyeti ya usalama wa nchi au ubakaji wa mtoto mdogo Kila mtu anaruhusiwa kwenda kusikiliza.

Hakuna mtu anakatazwa kuingia mahakamani na kusikiliza kesi.
 
Hatutaki katiba ambayo mtu akiamka anaagiza Ndege kwa casha Uraya, anaamua kujenga Airport kijijini kwake, anatumia kodi za wananchi kununulia korosho n.k
Hakuna mtu aliyezaliwa ili awe mfalme.Binadamu wote ni sawa.
 
Hicho kijiji pia ni sehemu ya tanzania mkuu na pia naona hoja zako zina toa lawama juu ya mtu fulqni na sio kwa maslahi mapana kwa wote.
 
Vijiji vyote vijengewe airport kwa sababu ni sehemu ya Tanzania
Hicho kijiji pia ni sehemu ya tanzania mkuu na pia naona hoja zako zina toa lawama juu ya mtu fulqni na sio kwa maslahi mapana kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…