Katiba ya Tanzania ni bora zaidi ya Katiba ya Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla

KATIBA YA KENYA NA TANZANIA ZOTE NI UPUMBAVU TU NI KAJITABU KA KUCHAMBIA TU (Saa mia voice)
Ya kenya ni kinyesi ya tanzania ni uharo

KATIBA YOYOTE ISIYO ZUIA WANASIASA KUWA WAPIGA KURA KAMWE HAIWEZI KUWA NZURI ...KUNA MAMBO MENGI ILA ILI LA WANASIASA KUZUIWA KUPIGA KURA KWENYE CHAGUZI KUU NI LA MSINGI SANA KAMA MNAYO AKILI MTAJUA KWANINI NINASEMA HIVI ....KAMWE WANASIASA WASIRUHUSIWE KUWA WAPIGA KURA KWENYE CHAKUZI KUU ZOZOTE ZILE ZA KISERIKALI. kama kuchagua RAIS,WABUNGE,MADIWANI NK hivyo vitafanya vyama vya siasa kuwa na watu wachache makini na kuleta umoja wa kitaifa siyo kama sasa kuna daraja za watanzania serikali imeacha kutumikia taifa inatumikia wanachama wa ccm...na kubagua wasio ccm na wasio wana siasa
 
hizo ni dosari na kasoro ndogo mno ambazo kwa maoni yangu licha ya uwepo wake zimesaidia pakubwa sana kuimarisha umoja, amani, utulivu na usalama wa Taifa letu. na nadhani kama kuna marekebisho eneo hilo basi yatakua madogo mno na nafasi hizo zitaendelea kuwapo...

kuhusu matokeo ya urasi kupingwa mahakamani nadhani nalo si muhimu sana na hasa ukizingatia nia na dhamira ya watu wanao dai na kupambana jambo hilo jepesi na lisilo na muhimu sana, hata hivyo nalo nadhani kama kuna marekebisho, basi yatakua ni madogo tu na mahakama nyingine zinaweza kupewa uwezo wa kuskiza kesi hizo...

Mamlaka ya Rais yanapotoshwa tu na wenye nia ovu na mustakabali mwema wa siasa na demokrasia ya nchi yetu. Mamlaka ya Rais Tanzania, Africa na duniani kote yako sawa na kwa sehemu kidogo sana yametofautiana na kwahivyo hiyo sio changamoto hata kidogo Tanzania...

Taifa letu la Tanzania lina katiba bora zaidi Africa Mashariki na ndio maana amani, utulivu na umoja wetu ni Imara zaidi kadiri siku zinavyokwenda πŸ’
 
Kiufupi ni kuwa wakenya na Kenya wana Mengi sana ya kujifunza kutoka Tanzania.ila sisi tuna machache sana ya kujifunza kutoka kwao hususan mchezo wa RiadhaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naona unabubujikwa kwa ujinga, next ufiche utaabika mbele ya watu wazima
 
Relax gentleman kua na staha kidogo kwa faida ya family hii pana sana JF...

kua mstahimilivu na mwenye subra tu, naona una wazo jipya, wakati muafaka utaliwasilisha..

vinginevyo,
Tanzania hakuna ubaguzi wa vyama, ukabila, rangi au dini wakati wa uchaguzi na kwenye utoaji wa huduma muhimu za kijamii kama vile afya, elimu, maji n.k
hii inatufanya kama Taifa kua bora zaidi na wenye katika muhimu sana zaidi ya Kenya na Africa Mashariki kwa ujumla πŸ’
 
Ni ukichaa kufananisha Katiba ya 1961 na katiba ya 2010 na kudai eti ya 1961 ni bora kuliko 2010.

Huo ni ukichaa grade A
ndio uone sasa katiba ya Kenya ya majuzi ni chakavu na mbovu isiyofaa utadhani ni ya mwaka 1919 kumbe ni 2010 tu hapo majuzi,

lakini katiba ya Tanzania ya 1977 ni bora na nzuri zaidi utadhani imeundwa mwaka jana kumbe inazidi ya miaka50 dah. Tanzania imependelewa sana na Mungu πŸ’
 
Mimi naamini kuna kutumia akili na kutumia mahaba,yaani unakipenda kitu mpaka akili yako unaiweka pembeni,halafu bila kujua kuna watu na wewe wanakutumia sababu ya maslai yao,wanatamani uendelee kuwa mjinga ili waendelee kuinyonya inchi yako
Mreta maada utachagua mwenyewe uko kundi gani
 
Infact,
niko kwenye kundi la katiba bora na nzuri, ya kistaarabu na makini mno ya Tanzania,

najaribu kuwafahamisha ninyi wenye mahaba ya kupitiliza ati Tz nasi tuwe na katiba mpya mbovu inayofanana na ile ya kenya ambayo inawaletea matatizo makubwa mno hao majirani zetu πŸ’
 
Je, una uhakika kwamba hauugui kichaa?
 
Je, una uhakika kwamba hauugui kichaa?
gentleman,
tafadhali sana naomba upitilize moja kwa moja hosipitalini kwa mtaalamu wa matatizo ya afya ya akili usipitie kwingineko hali yako itakua mbaya zaid, aise dah pole sana aise πŸ’
 
Mpumbavu mkubwa wewe!
 
Nikwambie kitu

Uzuri NO ONE will ever Believe this nonsense unayosema hapa

Unajifurahisha tu maana you are full of shit
 
Nikwambie kitu

Uzuri NO ONE will ever Believe this nonsense unayosema hapa

Unajifurahisha tu maana you are full of shit
no gentleman,

amini Mungu Pekee,

achana na hayo maushirikina yako, ramli, makasiriko na mihemko useless kabisa 🀣

kaa kimya huna hoja alaa πŸ’
 
no gentleman,

amini Mungu Pekee,

achana na hayo maushirikina yako, ramli, makasiriko na mihemko useless kabisa 🀣

kaa kimya huna hoja alaa πŸ’
Siamini hata huyo Mungu wako unaedai ni wa kweli and blah blah

Keep him for yourself

Siamini mungu wala shetani,altogether

Uzuri unajitekenya na kujichekesha mwenyewe...who cares!

MaCCM bwana.....

Yaani u think kuna watoto humu wakusikilize this nonsense you are spewing here?
 
Katiba ya Kenya inawalazimisha wagombea urais wawe ni sehemu ya chama cha siasa, wakenya hawalazimishi wanasiasa wao kuwa sehemu ya vyama vya siasa.

Akijisikia mgombea anakwenda chama chochote kwa nia zake binafsi za kuutaka urais bila ya kutazama kama misingi ya chama hicho inakwenda sawa na kile anachokiamini. Wapo kibinafsi zaidi na hawaaminiani wao kwa wao.

Suala la bandari kabla halijapitishwa na CCM Samia aliitwa na wazee wa Chama aelezee kwa kina kitu gani kinachokwenda kufanyika, ikabidi amuandae Hamza Johari ili aweze kulitetea hilo suala mbele ya wazee wa CCM. Ikabidi amwage shule na wazee wakalielewa ndio likaweza kukubaliwa na akaruhusiwa huyo mwekezaji afanye huo uwekezaji.
 
Kwa nchi inavyojiendea unashangaa hata Tlaatlaah ana nafasi ya uongozi. Kwanini watu wasipotee? Ila watu kama hawa tulizaliwa nao, tulisoma nao, tunacheka nao. Ni walewale wa kujipendekeza. Unakuta jibaba marafiki zake wote Ni wanawake, hawezi kutofautisha jema au baya.
 
una logic na mantiki nzito na ya maana sana gentleman,
kwa faida ya wadau wote na kwa ustawi wa demokrasia na katiba yetu πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…