Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
KATIBA YA KENYA NA TANZANIA ZOTE NI UPUMBAVU TU NI KAJITABU KA KUCHAMBIA TU (Saa mia voice)kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo...
mbaya zaidi,
inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana misuli baina ya Rais na naibu wa Rais..
Naibu wa rais na Rais wanahujumiana hadharani katika kusukuma agenda ya maendeleo kwa wanchi. lakini pia maseneta kwenye baraza lao la seneti wanaweza kuamua tu kwa chuki binafsi na bila sababu yoyote ya msingi wakaanzisha mchakato wa kumbandua governor madarakani, sasa hiyo katiba ina ubora gani?
hivi sasa kuna minong'ono ya mchakato wa kumbandua naibu wa Rais kwenye nafasi yake. Mwenyewe kaishtukia anagomba mno na amekua mkali mno, anadai kwamba hayupo wa kumfanya chochote. hivi kuna kazi ya maendeleo itafanyika kwenye? Serikalini za majimbo ni hovyo kabisa, yaani governor anaweza kumzodoa au kumdindia Rais hadharani kabisa Kenya.
na yote haya ni ubovu wa katiba yao ya 2010..
kwa ujumla katiba yao haiwapi fursa na muda wa kutosha kwa viongozi wa kisiasa kupanga mipango ya maendeleo, kuwatumika wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu, zaidi ya kuchochea mafarakano tu, hususani baina ya viongozi hao wawili kwa uchache huku kila moja akijivunia wingi wa kura alizochangia ili kushinda uchaguzi na kuunda serikali, wenye sura ya ukanda na ukabila..
kadhalika,
mihimili mingine ya dola katika serikali Kenya, yaaani bunge na mahakama iko tu kwaajili ya kuchelewesha, kukwamisha au kuzorotesha majukumu ya serikali kuu, taasisi au mamlaka za serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi, kwa kisingizio cha uhuru au haki, ambayo haina faida ispokua maumivu zaidi na ugumu wa maisha ya kwa wa Kenya...
Wakenya wanaharibu miundombinu na samani za nchi yao wenyewe, walizo zigharamikia wao wenyewe kwa gharama kubwa sana kwa kisingizio cha eti ni uhuru na haki ya kikatiba. hiyo ni akili ama nini ndrugu zango? Yaani kuharibu na kujitengenezea maisha magumu zaidi ndio katiba bora, kweli?
Nadhani Taifa la Tanzania halina cha kuiga, wala kujifunza hata kimoja kwenye katiba mbovu sana ya majirani zetu wa Kenya. Katiba ya Tanzania ni bora, inajitosheleza na ni ya kistaarabu zaidi Africa Mashariki nadhani katiba nyingine si muhimu saaaana kihivyo ila marekebisho kidogo tu ni sawa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ya kenya ni kinyesi ya tanzania ni uharo
KATIBA YOYOTE ISIYO ZUIA WANASIASA KUWA WAPIGA KURA KAMWE HAIWEZI KUWA NZURI ...KUNA MAMBO MENGI ILA ILI LA WANASIASA KUZUIWA KUPIGA KURA KWENYE CHAGUZI KUU NI LA MSINGI SANA KAMA MNAYO AKILI MTAJUA KWANINI NINASEMA HIVI ....KAMWE WANASIASA WASIRUHUSIWE KUWA WAPIGA KURA KWENYE CHAKUZI KUU ZOZOTE ZILE ZA KISERIKALI. kama kuchagua RAIS,WABUNGE,MADIWANI NK hivyo vitafanya vyama vya siasa kuwa na watu wachache makini na kuleta umoja wa kitaifa siyo kama sasa kuna daraja za watanzania serikali imeacha kutumikia taifa inatumikia wanachama wa ccm...na kubagua wasio ccm na wasio wana siasa