Katiba ya Tanzania ni bora zaidi ya Katiba ya Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo.

Mbaya zaidi, inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana misuli baina ya Rais na naibu wa Rais. Naibu wa rais na Rais wanahujumiana hadharani katika kusukuma agenda ya maendeleo kwa wanchi. lakini pia maseneta kwenye baraza lao la seneti wanaweza kuamua tu kwa chuki binafsi na bila sababu yoyote ya msingi wakaanzisha mchakato wa kumbandua governor madarakani, sasa hiyo katiba ina ubora gani?

hivi sasa kuna minong'ono ya mchakato wa kumbandua naibu wa Rais kwenye nafasi yake. Mwenyewe kaishtukia anagomba mno na amekua mkali mno, anadai kwamba hayupo wa kumfanya chochote. hivi kuna kazi ya maendeleo itafanyika kwenye? Serikalini za majimbo ni hovyo kabisa, yaani governor anaweza kumzodoa au kumdindia Rais hadharani kabisa Kenya.
na yote haya ni ubovu wa katiba yao ya 2010.

kwa ujumla katiba yao haiwapi fursa na muda wa kutosha kwa viongozi wa kisiasa kupanga mipango ya maendeleo, kuwatumika wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu, zaidi ya kuchochea mafarakano tu, hususani baina ya viongozi hao wawili kwa uchache huku kila moja akijivunia wingi wa kura alizochangia ili kushinda uchaguzi na kuunda serikali, wenye sura ya ukanda na ukabila.

Kadhalika, mihimili mingine ya dola katika serikali Kenya, yaaani bunge na mahakama iko tu kwaajili ya kuchelewesha, kukwamisha au kuzorotesha majukumu ya serikali kuu, taasisi au mamlaka za serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi, kwa kisingizio cha uhuru au haki, ambayo haina faida ispokua maumivu zaidi na ugumu wa maisha ya kwa wa Kenya.

Wakenya wanaharibu miundombinu na samani za nchi yao wenyewe, walizo zigharamikia wao wenyewe kwa gharama kubwa sana kwa kisingizio cha eti ni uhuru na haki ya kikatiba. hiyo ni akili ama nini ndrugu zango? Yaani kuharibu na kujitengenezea maisha magumu zaidi ndio katiba bora, kweli?

Nadhani Taifa la Tanzania halina cha kuiga, wala kujifunza hata kimoja kwenye katiba mbovu sana ya majirani zetu wa Kenya. Katiba ya Tanzania ni bora, inajitosheleza na ni ya kistaarabu zaidi Africa Mashariki nadhani katiba nyingine si muhimu saaaana kihivyo ila marekebisho kidogo tu ni sawa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
kwa mfano katiba ya Kenya ya 20210 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo...

mbaya zaidi,
inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana misuli baina ya Rais na naibu wa Rais..
Naibu wa rais na Rais wanahujumiana hadharani katika kusukuma agenda ya maendeleo kwa wanchi. lakini pia maseneta kwenye baraza lao la seneti wanaweza kuamua tu kwa chuki binafsi na bila sababu yoyote ya msingi wakaanzisha mchakato wa kumbandua governor madarakani, sasa hiyo katiba ina ubora gani?

hivi sasa kunaminongono ya mchakato wa kumbandua naibu wa Rais kwenye nafasi yake. hivi kuna kazi ya maendeleo itafanyika kwenye? Serikalini za majimbo ni hovyo kabisa, yaani governor anaweza kumzodoa au kumdindia Rais hadharani kabisa Kenya.
na yote haya ni ubovu wa katiba yao ya 2010..

kwa ujumla katiba yao haiwapi fursa na muda wa kutosha kwa viongozi wa kisiasa kuwatumika wananchi na kuwaletea maendeleo, zaidi ya kuchochea mafarakano tu, hususani baina ya viongozi hao wawili kwa uchache huku kila moja akijivunia wingi wa kura alizochangia ili kushinda uchaguzi na kuunda serikali, wenye sura ya ukanda na ukabila..

kadhalika,
mihimili mingine ya dola katika serikali Kenya, yaaani bunge na mahakama iko tu kwaajili ya kuchelewesha, kukwamisha au kuzorotesha majukumu ya serikali kuu, taasisi au mamlaka za serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi, kwa kisingizio cha uhuru au haki, ambayo haina faida ispokua maumivu zaidi na ugumu wa maisha ya kwa wa Kenya...

Wakenya wanaharibu miundombinu na samani za nchi yao wenyewe, walizo zigharamikia wao wenyewe kwa gharama kubwa sana kwa kisingizio cha eti ni uhuru na haki ya kikatiba. hiyo ni akili ama nini ndrugu zango? Yaani kuharibu na kujitengenezea maisha magumu zaidi ndio katiba bora, kweli?

Nadhani Taifa la Tanzania halina cha kuiga, wala kujifunza hata kimoja kwenye katiba mbovu sana ya majirani zetu wa Kenya. Katiba ya Tanzania ni bora, inajitosheleza na ni ya kistaarabu zaidi Africa Mashariki nadhani katiba nyingine si muhimu saaaana kihivyo ila marekebisho kidogo tu ni sawa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Sio kosa lako akili ndio huna
 
Kiufupi ni kuwa wakenya na Kenya wana Mengi sana ya kujifunza kutoka Tanzania.ila sisi tuna machache sana ya kujifunza kutoka kwao hususan mchezo wa Riadha😀😀😀
 
kwa mfano katiba ya Kenya ya 20210 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo...

mbaya zaidi,
inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana misuli baina ya Rais na naibu wa Rais..
Naibu wa rais na Rais wanahujumiana hadharani katika kusukuma agenda ya maendeleo kwa wanchi. lakini pia maseneta kwenye baraza lao la seneti wanaweza kuamua tu kwa chuki binafsi na bila sababu yoyote ya msingi wakaanzisha mchakato wa kumbandua governor madarakani, sasa hiyo katiba ina ubora gani?

hivi sasa kuna minong'ono ya mchakato wa kumbandua naibu wa Rais kwenye nafasi yake. Mwenyewe kaishtukia anagomba mno na amekua mkali mno, anadai kwamba hayupo wa kumfanya chochote. hivi kuna kazi ya maendeleo itafanyika kwenye? Serikalini za majimbo ni hovyo kabisa, yaani governor anaweza kumzodoa au kumdindia Rais hadharani kabisa Kenya.
na yote haya ni ubovu wa katiba yao ya 2010..

kwa ujumla katiba yao haiwapi fursa na muda wa kutosha kwa viongozi wa kisiasa kupanga mipango ya maendeleo, kuwatumika wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu, zaidi ya kuchochea mafarakano tu, hususani baina ya viongozi hao wawili kwa uchache huku kila moja akijivunia wingi wa kura alizochangia ili kushinda uchaguzi na kuunda serikali, wenye sura ya ukanda na ukabila..

kadhalika,
mihimili mingine ya dola katika serikali Kenya, yaaani bunge na mahakama iko tu kwaajili ya kuchelewesha, kukwamisha au kuzorotesha majukumu ya serikali kuu, taasisi au mamlaka za serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi, kwa kisingizio cha uhuru au haki, ambayo haina faida ispokua maumivu zaidi na ugumu wa maisha ya kwa wa Kenya...

Wakenya wanaharibu miundombinu na samani za nchi yao wenyewe, walizo zigharamikia wao wenyewe kwa gharama kubwa sana kwa kisingizio cha eti ni uhuru na haki ya kikatiba. hiyo ni akili ama nini ndrugu zango? Yaani kuharibu na kujitengenezea maisha magumu zaidi ndio katiba bora, kweli?

Nadhani Taifa la Tanzania halina cha kuiga, wala kujifunza hata kimoja kwenye katiba mbovu sana ya majirani zetu wa Kenya. Katiba ya Tanzania ni bora, inajitosheleza na ni ya kistaarabu zaidi Africa Mashariki nadhani katiba nyingine si muhimu saaaana kihivyo ila marekebisho kidogo tu ni sawa 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mkwamo wakati wenzako wanapiga hela! Juzi wamepata ajira ujerumani! Viwavi wenu walio kwenye uongozi wamebaki kuvizia wapinzani kuteka na kuua!! Draculas on the steering wheel!
 
Kiufupi ni kuwa wakenya na Kenya wana Mengi sana ya kujifunza kutoka Tanzania.ila sisi tuna machache sana ya kujifunza kutoka kwao hususan mchezo wa Riadha😀😀😀
kabisa comrade, ni riadha tu ya kujifunza kenya 🤣

yaani wamemaliza uchaguzi majuzi tu lakini leo hii ukitazama siasa zao utadhani uchaguzi ni next week...

dah, rushwa ni kama iko kwa mjomba wao yaani,

unakuta mradi moja unaziduliwa zaidi ya mara3 na naibu Rais,
lakini vile vile mradi huo huo unakuja kuzinduliwa na Rais mara2 kwa nyakati tofauti na fedheha ya utekelezaji imetafunwa mara zote, eti ndio katika bora hiyo?
 
Mkwamo wakati wenzako wanapiga hela! Juzi wamepata ajira ujerumani! Viwavi wenu walio kwenye uongozi wamebaki kuvizia wapinzani kuteka na kuua!! Draculas on the steering wheel!
fuatilia vizuri wajerumani wanasemaje kuhusu hizo ajira, lakini pia fuatilia vyombo vya habari mfano BBC waliotoa taarifa kama unavyodai na baadae wakakanusha, unadhani kwanini?

lakini pia fuatilia mjadala uliopo kwenye vyombo vya habari kenya na kwenye mitandaoni ya kijamii Kenya kuhusu hilo, wanadai ni kwamba Rais kadanganya ulimwengu kuhusu ajira hizo huko ugerumani 🐒
 
WALIMU TUMESHAWAKATAZA KUCHAMBUA MAMBO YA SHERIA.

Usikute hata hiyo katiba zenyewe hujawahi ishika unasikiaga tu katiba katiba.

It's better ukaacha kuandika mambo ambayo huyajui. Hizi ni professional za watu na sio lazima wote tuchangie
 
gentleman,
hakuna mambo ya kishirikiana na hizo ramli za eti eti sijui kushika ama kusikiaga katiba wakati mambo ni hadharani dunia kijiji?

haaa ama umezongwa na stress sana hadi mambo haya unanoka kama ni speshooooo, utaburuzwa kama ming'ombe mpaka lini sasa 🤣

eti professional,
Naibu Rais kupambana na Rais ambae ni boss wake ndio unprofessional sio?

au unprofessional ni Rais anazindua mradi wa maendeleo leo, halafu kwa kiburi na jeuri, kesho Naibu wa Rais wake ana uzindua mradi huo huo tena, right?🐒
 
fuatilia vizuri wajerumani wanasemaje kuhusu hizo ajira, lakini pia fuatilia vyombo vya habari mfano BBC waliotoa taarifa kama unavyodai na baadae wakakanusha, unadhani kwanini?

lakini pia fuatilia mjadala uliopo kwenye vyombo vya habari kenya na kwenye mitandaoni ya kijamii Kenya kuhusu hilo, wanadai ni kwamba Rais kadanganya ulimwengu kuhusu ajira hizo huko ugerumani 🐒
Sahihi kabisa ukitaka kuamini Soma hapa German government contradicts President Ruto on job opportunities for 250,000 Kenyans
 
gentleman,
hakuna mambo ya kishirikiana na hizo ramli za eti eti sijui kushika ama kusikiaga katiba wakati mambo ni hadharani dunia kijiji?

haaa ama umezongwa na stress sana hadi mambo haya unanoka kama ni speshooooo, utaburuzwa kama ming'ombe mpaka lini sasa 🤣

eti professional,
Naibu Rais kupambana na Rais ambae ni boss wake ndio unprofessional sio?

au unprofessional ni Rais anazindua mradi wa maendeleo leo, halafu kwa kiburi na jeuri, kesho Naibu wa Rais wake ana uzindua mradi huo huo tena, right?🐒
Nan anaburuzwa?

Kwahiyo hicho ndo kinafanya katiba iwe mbovu??

Kwahiyo matatizo katika utendaji ndo yanafanya katiba kuwa mbovu??

Kwanza ulishawah kuisoma hiyo katiba yenyewe au unabwabwaja tu hapa?
 
Nikuulize swali moja, ni kwanini mahakama ya kikatiba hajawahi kufanya kazi Tanzania? Ukinijibu ndio nitajua Kama unauhakika na unachokizungumza.
 
Back
Top Bottom