milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Kenya wakuu wa mikoa na wilaya hawateuliwi kichawa, wanagombea na kupigiwa kura na wananchi .
Jambo la maana sana
Jambo la maana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mwaka 20210 nani kauona?Una uhakika na ulichoandika??
Marekebisho yepi yataje ikiwo kuitambua Tanganyika. Wabunge wa Zanzibar wenye Bunge lao wanakuja Tanganyika kujadili nn! Nchi mbili ziliungana n ipi na ipi zikowapi nani Rais wake. Na kama ziliungana mbona siyo nchi moja? Na kama ziliungana mbona waZanzibar wanatuita wa bara wahamiaji?kwa mfano katiba ya Kenya ya 20210 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo...
mbaya zaidi,
inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana misuli baina ya Rais na naibu wa Rais..
Naibu wa rais na Rais wanahujumiana hadharani katika kusukuma agenda ya maendeleo kwa wanchi. lakini pia maseneta kwenye baraza lao la seneti wanaweza kuamua tu kwa chuki binafsi na bila sababu yoyote ya msingi wakaanzisha mchakato wa kumbandua governor madarakani, sasa hiyo katiba ina ubora gani?
hivi sasa kuna minong'ono ya mchakato wa kumbandua naibu wa Rais kwenye nafasi yake. Mwenyewe kaishtukia anagomba mno na amekua mkali mno, anadai kwamba hayupo wa kumfanya chochote. hivi kuna kazi ya maendeleo itafanyika kwenye? Serikalini za majimbo ni hovyo kabisa, yaani governor anaweza kumzodoa au kumdindia Rais hadharani kabisa Kenya.
na yote haya ni ubovu wa katiba yao ya 2010..
kwa ujumla katiba yao haiwapi fursa na muda wa kutosha kwa viongozi wa kisiasa kupanga mipango ya maendeleo, kuwatumika wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu, zaidi ya kuchochea mafarakano tu, hususani baina ya viongozi hao wawili kwa uchache huku kila moja akijivunia wingi wa kura alizochangia ili kushinda uchaguzi na kuunda serikali, wenye sura ya ukanda na ukabila..
kadhalika,
mihimili mingine ya dola katika serikali Kenya, yaaani bunge na mahakama iko tu kwaajili ya kuchelewesha, kukwamisha au kuzorotesha majukumu ya serikali kuu, taasisi au mamlaka za serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi, kwa kisingizio cha uhuru au haki, ambayo haina faida ispokua maumivu zaidi na ugumu wa maisha ya kwa wa Kenya...
Wakenya wanaharibu miundombinu na samani za nchi yao wenyewe, walizo zigharamikia wao wenyewe kwa gharama kubwa sana kwa kisingizio cha eti ni uhuru na haki ya kikatiba. hiyo ni akili ama nini ndrugu zango? Yaani kuharibu na kujitengenezea maisha magumu zaidi ndio katiba bora, kweli?
Nadhani Taifa la Tanzania halina cha kuiga, wala kujifunza hata kimoja kwenye katiba mbovu sana ya majirani zetu wa Kenya. Katiba ya Tanzania ni bora, inajitosheleza na ni ya kistaarabu zaidi Africa Mashariki nadhani katiba nyingine si muhimu saaaana kihivyo ila marekebisho kidogo tu ni sawa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ndiyo,Nan anaburuzwa?
Kwahiyo hicho ndo kinafanya katiba iwe mbovu??
Kwahiyo matatizo katika utendaji ndo yanafanya katiba kuwa mbovu??
Kwanza ulishawah kuisoma hiyo katiba yenyewe au unabwabwaja tu hapa?
Tabia za watu unaingiza kwenye katiba? Kwani make na mume na kila mmoja ana majukumu yake huwa hawazodoani?ndiyo,
utendaji wa Rais na Makamu Rais unafaa kua defined clearly bila contradictions kwenye katiba, vinginevyo ndiyo hayo matatizo kila baada ya uchaguzi Kenya kwasabb ni utata mtu...
Tanzania umeshawahi kuona Rais na Makamu wake wanazodoana huko mtaani kwenye majukwaa ya kisiasa, huku wote wakiwa wa chama kimoja?
Ni kwasabb wajibu na majukumu yao mazito yameelezwa vyema kwenye katiba bora zaidi Africa Mashariki ya Tanzania...
unadhani ingekua katiba mbovu kama ya Kenya kuhusu wajibu na majukumu ya Rais na naibu wake tungekua tupo na maendeleo, mathalani haya ya bwawa la mwalimu Nyerere, SGR, Mapinduzi ya kilimo na biashara kubwa kama ilivyo sasa?
si tungalikua tuna vutana tu Raisi anavutia huku Naibu Rais ana vutia kule, hiyo si useless kabisa gentleman? 🐒
hayo yote unayozungumza nadhani hakuna linalohitaji marekebisho wala mabadiliko yoyote,Marekebisho yepi yataje ikiwo kuitambua Tanganyika. Wabunge wa Zanzibar wenye Bunge lao wanakuja Tanganyika kujadili nn! Nchi mbili ziliungana n ipi na ipi zikowapi nani Rais wake. Na kama ziliungana mbona siyo nchi moja? Na kama ziliungana mbona waZanzibar wanatuita wa bara wahamiaji?
Umeamka na hangover au ndio umetoka bar saa hii. Ni utumbo gani huu umeandika ? Hii katiba yenye viraka unaweza kufananisha na katiba ya hapo kenya tu ? Kwa jinsi ilivyo mbovu hata chama tawala chenyewe hakiiheshimu hukuna accountabiliy. Chawakwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo...
mbaya zaidi,
inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana misuli baina ya Rais na naibu wa Rais..
Naibu wa rais na Rais wanahujumiana hadharani katika kusukuma agenda ya maendeleo kwa wanchi. lakini pia maseneta kwenye baraza lao la seneti wanaweza kuamua tu kwa chuki binafsi na bila sababu yoyote ya msingi wakaanzisha mchakato wa kumbandua governor madarakani, sasa hiyo katiba ina ubora gani?
hivi sasa kuna minong'ono ya mchakato wa kumbandua naibu wa Rais kwenye nafasi yake. Mwenyewe kaishtukia anagomba mno na amekua mkali mno, anadai kwamba hayupo wa kumfanya chochote. hivi kuna kazi ya maendeleo itafanyika kwenye? Serikalini za majimbo ni hovyo kabisa, yaani governor anaweza kumzodoa au kumdindia Rais hadharani kabisa Kenya.
na yote haya ni ubovu wa katiba yao ya 2010..
kwa ujumla katiba yao haiwapi fursa na muda wa kutosha kwa viongozi wa kisiasa kupanga mipango ya maendeleo, kuwatumika wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu, zaidi ya kuchochea mafarakano tu, hususani baina ya viongozi hao wawili kwa uchache huku kila moja akijivunia wingi wa kura alizochangia ili kushinda uchaguzi na kuunda serikali, wenye sura ya ukanda na ukabila..
kadhalika,
mihimili mingine ya dola katika serikali Kenya, yaaani bunge na mahakama iko tu kwaajili ya kuchelewesha, kukwamisha au kuzorotesha majukumu ya serikali kuu, taasisi au mamlaka za serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi, kwa kisingizio cha uhuru au haki, ambayo haina faida ispokua maumivu zaidi na ugumu wa maisha ya kwa wa Kenya...
Wakenya wanaharibu miundombinu na samani za nchi yao wenyewe, walizo zigharamikia wao wenyewe kwa gharama kubwa sana kwa kisingizio cha eti ni uhuru na haki ya kikatiba. hiyo ni akili ama nini ndrugu zango? Yaani kuharibu na kujitengenezea maisha magumu zaidi ndio katiba bora, kweli?
Nadhani Taifa la Tanzania halina cha kuiga, wala kujifunza hata kimoja kwenye katiba mbovu sana ya majirani zetu wa Kenya. Katiba ya Tanzania ni bora, inajitosheleza na ni ya kistaarabu zaidi Africa Mashariki nadhani katiba nyingine si muhimu saaaana kihivyo ila marekebisho kidogo tu ni sawa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwahiyo unaleta tabia yako binafsi na ya familia yako kwenye uongozi wa nchi, right?🤣Tabia za watu unaingiza kwenye katiba? Kwani make na mume na kila mmoja ana majukumu yake huwa hawazodoani?
Naona mambumbumbu mmeamua kuunganisha nguvu kwenye ujinga.Kiufupi ni kuwa wakenya na Kenya wana Mengi sana ya kujifunza kutoka Tanzania.ila sisi tuna machache sana ya kujifunza kutoka kwao hususan mchezo wa Riadha😀😀😀
kutokana na ubora na umadhubuti wa katiba yetu ya 1977, hapakua na haja, umuhimu wala sababu ya chombo hicho kufanya kazi kutokana na umakini wa katiba hiyo ulivyo.Nikuulize swali moja, ni kwanini mahakama ya kikatiba hajawahi kufanya kazi Tanzania? Ukinijibu ndio nitajua Kama unauhakika na unachokizungumza.
Yaani kuna watu vichaa sanakwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo...
mbaya zaidi,
inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana misuli baina ya Rais na naibu wa Rais..
Naibu wa rais na Rais wanahujumiana hadharani katika kusukuma agenda ya maendeleo kwa wanchi. lakini pia maseneta kwenye baraza lao la seneti wanaweza kuamua tu kwa chuki binafsi na bila sababu yoyote ya msingi wakaanzisha mchakato wa kumbandua governor madarakani, sasa hiyo katiba ina ubora gani?
hivi sasa kuna minong'ono ya mchakato wa kumbandua naibu wa Rais kwenye nafasi yake. Mwenyewe kaishtukia anagomba mno na amekua mkali mno, anadai kwamba hayupo wa kumfanya chochote. hivi kuna kazi ya maendeleo itafanyika kwenye? Serikalini za majimbo ni hovyo kabisa, yaani governor anaweza kumzodoa au kumdindia Rais hadharani kabisa Kenya.
na yote haya ni ubovu wa katiba yao ya 2010..
kwa ujumla katiba yao haiwapi fursa na muda wa kutosha kwa viongozi wa kisiasa kupanga mipango ya maendeleo, kuwatumika wananchi na kuwaletea maendeleo endelevu, zaidi ya kuchochea mafarakano tu, hususani baina ya viongozi hao wawili kwa uchache huku kila moja akijivunia wingi wa kura alizochangia ili kushinda uchaguzi na kuunda serikali, wenye sura ya ukanda na ukabila..
kadhalika,
mihimili mingine ya dola katika serikali Kenya, yaaani bunge na mahakama iko tu kwaajili ya kuchelewesha, kukwamisha au kuzorotesha majukumu ya serikali kuu, taasisi au mamlaka za serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi, kwa kisingizio cha uhuru au haki, ambayo haina faida ispokua maumivu zaidi na ugumu wa maisha ya kwa wa Kenya...
Wakenya wanaharibu miundombinu na samani za nchi yao wenyewe, walizo zigharamikia wao wenyewe kwa gharama kubwa sana kwa kisingizio cha eti ni uhuru na haki ya kikatiba. hiyo ni akili ama nini ndrugu zango? Yaani kuharibu na kujitengenezea maisha magumu zaidi ndio katiba bora, kweli?
Nadhani Taifa la Tanzania halina cha kuiga, wala kujifunza hata kimoja kwenye katiba mbovu sana ya majirani zetu wa Kenya. Katiba ya Tanzania ni bora, inajitosheleza na ni ya kistaarabu zaidi Africa Mashariki nadhani katiba nyingine si muhimu saaaana kihivyo ila marekebisho kidogo tu ni sawa 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
sasa gentleman, kama umeamka na umeshatoa Loki na kisungura,Umeamka na hangover au ndio umetoka bar saa hii. Ni utumbo gani huu umeandika ? Hii katiba yenye viraka unaweza kufananisha na katiba ya hapo kenya tu ? Kwa jinsi ilivyo mbovu hata chama tawala chenyewe hakiiheshimu hukuna accountabiliy. Chawa