W wesele Member Joined May 22, 2013 Posts 31 Reaction score 3 May 26, 2013 #1 Katiba ya ukweli ni ile isiyokuwa na wingi wa wanasiasa bali wingi wa wananchi .
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 9,836 Reaction score 7,231 May 26, 2013 #2 Nafikiri katiba ya kweli ni ya kuchukuliwa hatua viongozi wanaobainika ni wezi serikalini na kuwanyonga hadharani bila kujali wadhifa wao.
Nafikiri katiba ya kweli ni ya kuchukuliwa hatua viongozi wanaobainika ni wezi serikalini na kuwanyonga hadharani bila kujali wadhifa wao.