katiba ya ukweli ni ipi?

katiba ya ukweli ni ipi?

wesele

Member
Joined
May 22, 2013
Posts
31
Reaction score
3
Katiba ya ukweli ni ile isiyokuwa na wingi wa wanasiasa bali wingi wa wananchi .
 
Nafikiri katiba ya kweli ni ya kuchukuliwa hatua viongozi wanaobainika ni wezi serikalini na kuwanyonga hadharani bila kujali wadhifa wao.
 
Back
Top Bottom