Katiba yetu ni ya kwanza kwa ubovu duniani

Katiba yetu ni ya kwanza kwa ubovu duniani

Amka, amka, usilale...Katiba mpya inakuja hiyo. Tafuta kazi nyingine kama kula yako kunategemea katiba mbovu ya sasa.

Mimi sina shida na katiba mpya. Shida yangu ni upotoshaji mnaoutoa, kana kwamba sisi hatuna uwezo wa kutumia akili zetu vizuri. Jengeni hoja za maana mnapotaka kuwaonesha watu kwa nini tunahitaji katiba mpya. Siyo ujinga huu wa kitoto mnaouandika humu. Eti katiba ya Tanzania ndiyo katiba mbovu zaidi duniani. Wee unafikiri sisi wote ni WAVIVU wa kufikiri?
 
Punguza ujinga sasa na weye!


2833755_FB_IMG_1612420221935.jpg
 
Washauri wengi wa Rais wa marekani ni wapambe na wabeba mikoba tu.Sio wote ambao ni watumishi rasmi wa serikali, hao wawili walikuwa hawalipwi. Nafasi nyeti zote za utumishi US lazima zithibitishwe na Seneti.
Huko Marekani kina Kennedy walichagua Ndugu zao..
Donald Trump washauri wake wakuu ni ni binti yake na mumewe...

Punguza kukariri
 
Back
Top Bottom