Katibu BAKWATA Kagera akatwa mkono, mkataji auawa kwa kipigo

Kitu ambacho nilikuja kugundua ni kwamba so called WASOMI ndo WANAPELEKESHWA NA DINI MBAYA

MIMI NI MUISLAM NA SIKUWAHI KUJUA TUNACHUKIWA HIVI HUKU MITAANI MPAKA NILIVOANZA KUONA CHUKI HUMU .
HIZI DINI ZA KUCHUKIA BINADAM WENGINE MMEZITOA WAPI AISEE

I PRACTICE ISLAM ILA IMANI NI ZAIDI YA UTU
 

sasa kama aliachishwa kazi huoni kwamba nayy ndo analipiza
 
"mtu akikosea tunatakiwa kumkamata au kutoa taarifa kwa mamlaka za Serikali", hapa itabidi kumuomba mtuhumiwa akamatwe au asubiri ili taarifa ipelekwe kwenye mamlaka za Serikali!
 
KATIBU wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Bukoba Mjini, Hamza Zacharia Abdallah, amenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga yaliyomsababishia kupoteza kiganja cha mkono wa kushoto.

Zacharia anadaiwa kutendewa ukatili huo na Abdulbarik Yahaya, aliyekuwa mtunza vifaa vya mradi wa ujenzi wa jengo la baraza hilo (BAKWATA Complex), wilayani Bukoba Mjini, baada ya Katibu huyo kumtuhumu kwa ubadhirifu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam (endelea).

Akizungumza na MwanaHALISI Online kwa njia ya simu, leo tarehe 6 Februari 2024, Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Blasius Chatanda, amesema tukio hilo limetokea wiki iliyopita, baada ya Yahaya kumvamia Seikh Hamza ofisini kwake majira ya asubuhi na kuanza kumcharanga mapanga

Amesema, baada ya mtuhumiwa huyo kuanza kumcharanga mapanga hadi kiganja cha mkono wake wa kushoto kukatika, majirani waliingilia kati kwa ajili ya kumdhibiti lakini alikaidi kitendo kilichowapeleka waanze kumshambulia na kumsababishia majeraha ambapo alifariki wakati akiwa njiani akikimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Kamanda Chatanda amesema chanzo cha tukio hilo ni Sheikh Hamza kumtuhumu mlinzi huyo kwa ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa jengo hilo.

Ameongeza kuwa mhanga wa tukio hilo anauguza majeraha katika Hospitali ya Rufaa ya Bukoba.

“Mtuhumiwa alikuwa stoo keeper wa mradi wa BAKWATA Complex, jina lake nimelisahau sababu kwa harakaharaka sina taarifa. Yule bwana alikuwa ameondolewa kwa sababu ya kutuhumiwa sio muadilifu hivyo baada ya kuondolewa akamtuhumu Hamza kuwa yeye ndiyo sababu ya kumfanya atoke kwenye ile nafasi. Tukio hilo lilitokea nadhani kati ya tarehe 1 au 2 Februari mwaka huu,” amesema Kamanda Chatanda na kuongeza:

“Kesho yake baada ya kuondolewa saa 5.00 asubuhi pale alipokuwa anakaa yule mzee alikuwa anashona akamfuata akaanza kumcharanga mapanga mkono ukaachia, lakini majirani walioona kitendo kile wakaingia kuamulia na yeye hakukubali bahati mbaya nao wakampiga wakamjeruhi Askari wakaingilia kati wakampeleka hospitali lakini njia.

ni akafariki.”
 

Mudi karuhusu muuane na ndio tunachokishuhudia katika ulimwengu wa kiislam.
 

Uislam ni dini ya kinafiki,na matendo ya hovyo yamejaa katika ulimwengu wa kiislam hili liko wazi bila kificho,dini imewapofusha na kuwafanya vilema wa akili.
 
Hiyo itakuwa kazi ya mahakama kuamua kama ni self defense au la.
 
Nan nyie mkibaki pekee mtafirwa mpaka nawatoto walio wazaaa papa karuhus
Kuhusu kufirana Waislam wa pwani ndio Waasisi, mpaka shanga wanavaa na wanakatikia kabisa dushe...kama afanyavyo Afande Rama

Huwa Wanaita mambo ya pwani

Katika hili tukio la kumkata Imamu haishangazi kwa upande wa Waislam kwakuwa huwa Mna mihemko na jazba sana katika kutekeleza Mauaji

Huwa hamna "Subra" wala kutafakari kwa kina kabla ya kufanya jambo

Sasa mnagombana katika ujenzi wa nyumba yenu tena ya uwekezaji wa kuwapatia kipato...why msisuluhishe mambo kidiplomasia?
 
Lengo hapo wawakamate wachukue rushwa kubwa kwa kuwatishia na kesi ya Mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…