Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Propaganda ni balaa. Eti, miaka ya zamani Tanzania ilikuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani yaani baada ya USA na USSR. Mpaka China, UK na France tuliwapita aisee.Propaganda inafanya kazi pale ambapo watu wana uelewa mdogo kuhusu jambo Fulani,sasa hili LA DP world document imewafikia watu wengi ukweli unajulikana.
Tatizo CCM hawataki kubadilika wanadhani watu ni wajinga kama wanachama wao wanaosombwa na matrekta kwenye mikutano wanaishia kupewa wali nyamaPropaganda inafanya kazi pale ambapo watu wana uelewa mdogo kuhusu jambo Fulani,sasa hili LA DP world document imewafikia watu wengi ukweli unajulikana.
Swala ni hyuo mkataba utautetea vi ,ili hali serikali yenyewe kila kiongozi anasema lakeNdugu zangu kipindi hiki cha Mgogoro wa DPW na Serikali ya ccm kilikuwa ni muhimu sana kwa Katibu Uenezi CCM taida kuonesha makeke yake.
Kiukweli ccm na idara hii imepwaya sana.
Tunajua Uzalendo ndani ya ccm kila siku unapungua je ndio sababu hii Idara muhimu kukalia mambo nyeti hivi?
Au mgao haukuwafikia mmesusa?