Katibu Idara ya Ccm uenezi imepwaya sana kipindi hiki cha DPW. Enzi za kina Nape na Makonda walifanya vyema sana.

Katibu Idara ya Ccm uenezi imepwaya sana kipindi hiki cha DPW. Enzi za kina Nape na Makonda walifanya vyema sana.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Ndugu zangu kipindi hiki cha Mgogoro wa DPW na Serikali ya ccm kilikuwa ni muhimu sana kwa Katibu Uenezi CCM taida kuonesha makeke yake.

Kiukweli ccm na idara hii imepwaya sana.

Tunajua Uzalendo ndani ya ccm kila siku unapungua je ndio sababu hii Idara muhimu kukalia mambo nyeti hivi?

Au mgao haukuwafikia mmesusa?
 
Propaganda inafanya kazi pale ambapo watu wana uelewa mdogo kuhusu jambo Fulani,sasa hili LA DP world document imewafikia watu wengi ukweli unajulikana.
Propaganda ni balaa. Eti, miaka ya zamani Tanzania ilikuwa nchi ya tatu kwa upelelezi duniani yaani baada ya USA na USSR. Mpaka China, UK na France tuliwapita aisee.
 
Wangefanya nini na huu mkataba mbovu, sana wangepigapiga kelele tu na kijishushia heshima
 
CCM ni Chama mfu hakuna Chama pale limebaki kundi la kupika majungu na kurogana.

Ushauri wangu tunawaomba Watanzania watupe ridhaa sisi CHADEMA angalao kwa miaka kumi waone tutakavyo piga mzigo
 
Propaganda inafanya kazi pale ambapo watu wana uelewa mdogo kuhusu jambo Fulani,sasa hili LA DP world document imewafikia watu wengi ukweli unajulikana.
Tatizo CCM hawataki kubadilika wanadhani watu ni wajinga kama wanachama wao wanaosombwa na matrekta kwenye mikutano wanaishia kupewa wali nyama
 
Ndugu zangu kipindi hiki cha Mgogoro wa DPW na Serikali ya ccm kilikuwa ni muhimu sana kwa Katibu Uenezi CCM taida kuonesha makeke yake.

Kiukweli ccm na idara hii imepwaya sana.

Tunajua Uzalendo ndani ya ccm kila siku unapungua je ndio sababu hii Idara muhimu kukalia mambo nyeti hivi?

Au mgao haukuwafikia mmesusa?
Swala ni hyuo mkataba utautetea vi ,ili hali serikali yenyewe kila kiongozi anasema lake
 
Back
Top Bottom