The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Wanamuamini Samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waswahili ni wajanja sana.Na bado hadi mseme abeee!
Mada umeisoma mkuu? anasema kwamba muislam mwenzio ANAHADAA WATU. Hivi kuhadaa watu siyo dhambi? au ukiwa ccm unakuwa tayari kwenda JEHANAMU kwa uongo, fitina, hadaa na dini unaifungia nje?. MAONI YANGU: Kama ndivyo, maccm yanaenda jehanamu kizembe sana.Naam, umeniita?
Tatizo nini?
Mwaka wa uchaguzi huu myasema yote.Mada umeisoma mkuu? anasema kwamba muislam mwenzio ANAHADAA WATU. Hivi kuhadaa watu siyo dhambi? au ukiwa ccm unakuwa tayari kwenda JEHANAMU kwa uongo, fitina, hadaa na dini unaifungia nje?. MAONI YANGU: Kama ndivyo, maccm yanaenda jehanamu kizembe sana.