Mada umeisoma mkuu? anasema kwamba muislam mwenzio ANAHADAA WATU. Hivi kuhadaa watu siyo dhambi? au ukiwa ccm unakuwa tayari kwenda JEHANAMU kwa uongo, fitina, hadaa na dini unaifungia nje?. MAONI YANGU: Kama ndivyo, maccm yanaenda jehanamu kizembe sana.