Katibu Mkuu BAKWATA Nuhu Mruma: Tumuunge mkono Rais Samia katika vita dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559

Akihitimisha hotuba yake muda huu katika mashindano ya dunia ya kuhifadhi Quran kwa wanawake.

Katibu Mkuu wetu wa BAKWATA ametuasa dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia pamoja na kudumisha AMANI na UTULIVU.

Soma Pia:
#Pinga Ukatili wa Kijinsia[emoji7]
#Pinga ukatili dhidi ya wanawake [emoji7]
#Piga vita ubaguzi wa kikabila ,kikanda na kidini [emoji7]

TUDUMISHE AMANI NA UTULIVU WA NCHI YETU

NCHI KWANZA [emoji7][emoji7]
 
Je utekaji? Where is sOka et al! Rubbish!
 
Mmeona alichosema tumuunge rais mkono kabla ya kuingia hata kwenye utekaji? Unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa jinsia ambao ni kama anaufurahia! Hawa watu wanafiki mno. Kibibi chenyewe ndiyo kinaongoza kutesa wanawake wenzake.
 
Ila kulaani utekaji na kauli za ukakasi za Samia aaahhhgh
Hawa jamaa dini huwa inawapa upofu....as long as ni dini yake, watashikamana naye hata kwenyye matendo yake mabaya kabisa kwa kukaa kimya....nimeliona hilo kwa hawa ndugu zetu tena wengine ni wasomi hasa
 
Ubaguzi huo...

Ulitaka waseme maneno ya UKAKASI mbele ya wananchi tena katika shughuli ya kidini ?!! [emoji1787]

Acha kujitia ushujaa wa kitoto....

Wewe unamjua mtu aitwaye Rais na nguvu zake ?!! [emoji1787][emoji1787]

Eti hawa "jamaa" ..

Kwa hiyo kila asiyemsema vibaya mh.Rais ni muislam?!! [emoji44]

Fikra mbovu kabisa
 
Hakuna mwislamu anayemsema vibaya samia huo ndo ukweli
 
..wangeweza kuwasilisha hoja ya kutetea waliptekwa bila ukakasi.

..hivi walivyopotezea sio jambo jema hata kidogo.

..viongozi wa dini wanao wajibu wa kukemea maovu yanayofanywa na vyombo vya serikali.
 
Ubaguzi huo...

Ulitaka waseme maneno ya UKAKASI mbele ya wananchi tena katika shughuli ya kidini ?!! [emoji1787]

Acha kujitia ushujaa wa kitoto....

Wewe unamjua mtu aitwaye Rais na nguvu zake ?!! [emoji1787][emoji1787]

Eti hawa "jamaa" ..

Kwa hiyo kila asiyemsema vibaya mh.Rais ni muislam?!! [emoji44]

Fikra mbovu kabisa
Eti unajua nguvu za Rais....Busara,hekima na akili vina nguvu kuliko nguvu za kipuuzi alizopewa na katiba ya mchongo.
Shuguli ya kidini mnaakaa na watu wamejaaa damu mikononi bila ya kuwaambia? Huyo Quran inafundisha nini kuhusu dhulma?
 
Hakuna mwislamu anayemsema vibaya samia huo ndo ukweli
Ulionao ni ukichaa....akina Fatma Karume ni wabuddha ee?!! [emoji44]

Mimi si mfuasi wa udini na uchizi wake....

Kaa na uzwazwa wako....

Humu JF nilipokuwa ninamuunga mkono hayati JPM nilikuwa ni mkatoliki na sasa nimerudia USUNNI wangu ?!! [emoji44][emoji44]
 
Eti unajua nguvu za Rais....Busara,hekima na akili vina nguvu kuliko nguvu za kipuuzi alizopewa na katiba ya mchongo.
Shuguli ya kidini mnaakaa na watu wamejaaa damu mikononi bila ya kuwaambia? Huyo Quran inafundisha nini kuhusu dhulma?
Qur'an inafundisha kupinga DHULMA kwa njia za adabu....

Qur'an inapinga kutukana watu hususani WAZAZI...wakubwa kiumri na VIONGOZI....

Acha utoto weee !
 
Hawa jamaa dini huwa inawapa upofu....as long as ni dini yake, watashikamana naye hata kwenyye matendo yake mabaya kabisa kwa kukaa kimya....nimeliona hilo kwa hawa ndugu zetu tena wengine ni wasomi hasa
Kenge nyinyi wadini
Haya mlikuwa hamuyaoni

1725142051169.png
 
Qur'an inafundisha kupinga DHULMA kwa njia za adabu....

Qur'an inapinga kutukana watu hususani WAZAZI...wakubwa kiumri na VIONGOZI....

Acha utoto weee !

..sasa mbona Samia anaita wakosoaji wake MBWA?
 
Back
Top Bottom