Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Akihitimisha hotuba yake muda huu katika mashindano ya dunia ya kuhifadhi Quran kwa wanawake.
Katibu Mkuu wetu wa BAKWATA ametuasa dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia pamoja na kudumisha AMANI na UTULIVU.
Soma Pia:
- Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi Quran kwa Wanawake
- Mwaka 2023 kulikuwa na Makosa 37,448 ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania, 15,301 yalikuwa kwa Watoto
#Pinga ukatili dhidi ya wanawake [emoji7]
#Piga vita ubaguzi wa kikabila ,kikanda na kidini [emoji7]
TUDUMISHE AMANI NA UTULIVU WA NCHI YETU
NCHI KWANZA [emoji7][emoji7]