PreGE2025 Katibu Mkuu BAKWATA: Tuepuke mahubiri ya siasa kwenye nyumba za ibada

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao tofauti."

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, leo Juni 7, 2025, wakati wa Baraza la Eid al-Adh-ha mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
 
View attachment 3358953
Wanasiasa mkiwasifia vs wanasiasa mkiwakosa
 
Kuna watu wa kuongea ila siyo hao BAKWATA ambao hata wanachama wao ya hiyo dini wanawapinga. Anaanzaje kusimama kuongelea viongozi wengine wa dini?
Wanavyojitoa akili, Sheikh ndiyo mtu wa mwisho kutekwa na kuuliwa, badala akemee hilo, anaongea upashkuna tu.

Watu, viongozi wa dini wanaofata haki watakemea uovu wa mashetani wa hii nchi watake, wasitake. Hayo maneno yake ni kama ameweka kijiko kimoja cha sukari kwenye bahari ya Hindi. Atulie huko...

NO REFORMS NO ELECTION.
 
Bado sielewi hili.
Ndani ya nyumba ya ibada ukimpa nafasi mwanasiasa (kama alivyopewa "muongo wa taifa" leo msikitini) akaongea siasa hiyo sio siasa kwenye nyumba za ibada, ila akiongea sheikh/imamu/mchungaji/padri/askofu kukemea maovu yanayotendeka kwenye jamii (serikali na vyama vya siasa + dola ni wanajamii) hiyo inaitwa kuchanganya dini na siasa!!!??

Kwa nini watu wanakuwa wapumbavu kiasi hiki!!?

Ila nimependa kitu kimoja leo pale kwenye msikiti wa Mohamed wa 6 alipokuwa akiongea muongo wa taifa, hakukuwa na makofi hata kidogo wakati anaongea hilo jiongo.

Nimependa huu utaratibu wa waislamu wa pale wa kutopiga piga makofi kwa binadamu.
Je, huu ndip utaratibu wao wa ndani ya misikiti kutopiga piga makofu kwa waongeaji tofauti na sisi Wakristo!!??

Huu ni utaratibu mzuri sana.
Heko Waislamu waliosali leo pale Mohammed VI.
 
Mbona wanasiasa wanakuja kuomba kura kanisani ? No reform no election 🔥
 
"Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao tofauti."

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, leo Juni 7, 2025, wakati wa Baraza la Eid al-Adh-ha mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3358953
rubbish! Siasa ndiyo maisha yetu halafu uansema hakuna siasa makanisani/misikitini.

Maisha yetu determinant kubwa ni siasa, halafu utupangie wapi pa kuzungumza siasa!
 
Tatizo lao ni Njaa na kutokuwa na Elimu tu.

Waambie Watanzania tumeshaamua No Reforms No Election
 
"Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao tofauti."

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, leo Juni 7, 2025, wakati wa Baraza la Eid al-Adh-ha mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3358953
Hajala ndizi na ubwabwa nini
 
#NO REFORMS NO ELECTION#
 
FREE TUNDU ANTIPAS LISSU
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
 
Mbona Salumu Mwalimu wa CHAUMMA alikuwa anahubiri siasa msikitini Bariadi?
 
Back
Top Bottom