Hizi Point zote tulikuwa nazo awamu 5 lakini hakuna kanisa lilothubutu kulizungumza hata ikafika kauli ya wajinga kuwa atangezewa muda akitaka asitake ndio msemo unasema Wacha MUNGU Tumwite MUNGUKwa ivo kwa matukio haya mahubiri yanatakiwa yaweje?
1. Watu wanatekwa
2. Watu wanalawitiwa kinguvu
3. Haki za wengi zinaporwa
4. Watu wanauawa
Vitabu vya hizo dini vinaelekeza mahubiri yaweje?
Umesahau ule waraka wa Pasaka ulioshutumiwa na Magufuli? Huyu Bangoza na Niwemuigizi na Kakobe zama za mwendazake walihojiwa uraia kisa nini?Hizi Point zote tulikuwa nazo awamu 5