Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wanasiasa mkiwasifia vs wanasiasa mkiwakosa"Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao tofauti."
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, leo Juni 7, 2025, wakati wa Baraza la Eid al-Adh-ha mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3358953
rubbish! Siasa ndiyo maisha yetu halafu uansema hakuna siasa makanisani/misikitini."Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao tofauti."
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, leo Juni 7, 2025, wakati wa Baraza la Eid al-Adh-ha mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3358953
Hajala ndizi na ubwabwa nini"Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao tofauti."
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, leo Juni 7, 2025, wakati wa Baraza la Eid al-Adh-ha mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3358953
#NO REFORMS NO ELECTION#"Tunaendelea kuwasihi viongozi wetu wa dini kutumia vizuri majukwaa ya nyumba za ibada kueneza mafunzo mazuri ya dini yetu yanayotokana na maandiko muhimu ya vitabu vyetu vitukufu, na kuepuka mahubiri ya siasa katika nyumba zetu za ibada, kwani tunaweza kuwagawanya waumini ambao wana itikadi zao tofauti."