A AQ10 Member Joined May 9, 2023 Posts 77 Reaction score 24 Jun 10, 2025 #22 Allen Kilewella said: Kwa ivo kwa matukio haya mahubiri yanatakiwa yaweje? 1. Watu wanatekwa 2. Watu wanalawitiwa kinguvu 3. Haki za wengi zinaporwa 4. Watu wanauawa Vitabu vya hizo dini vinaelekeza mahubiri yaweje? Click to expand... Hizi Point zote tulikuwa nazo awamu 5 lakini hakuna kanisa lilothubutu kulizungumza hata ikafika kauli ya wajinga kuwa atangezewa muda akitaka asitake ndio msemo unasema Wacha MUNGU Tumwite MUNGU
Allen Kilewella said: Kwa ivo kwa matukio haya mahubiri yanatakiwa yaweje? 1. Watu wanatekwa 2. Watu wanalawitiwa kinguvu 3. Haki za wengi zinaporwa 4. Watu wanauawa Vitabu vya hizo dini vinaelekeza mahubiri yaweje? Click to expand... Hizi Point zote tulikuwa nazo awamu 5 lakini hakuna kanisa lilothubutu kulizungumza hata ikafika kauli ya wajinga kuwa atangezewa muda akitaka asitake ndio msemo unasema Wacha MUNGU Tumwite MUNGU
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,982 Reaction score 51,157 Jun 10, 2025 #23 AQ10 said: Hizi Point zote tulikuwa nazo awamu 5 Click to expand... Umesahau ule waraka wa Pasaka ulioshutumiwa na Magufuli? Huyu Bangoza na Niwemuigizi na Kakobe zama za mwendazake walihojiwa uraia kisa nini?
AQ10 said: Hizi Point zote tulikuwa nazo awamu 5 Click to expand... Umesahau ule waraka wa Pasaka ulioshutumiwa na Magufuli? Huyu Bangoza na Niwemuigizi na Kakobe zama za mwendazake walihojiwa uraia kisa nini?