Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

Kumekucha Salama
Mwaga Nondo
Tunaanza Upya Kama Yule Mzee Wa Kemondo
 
Wanasema ishu ni remote control
 
Picha mbili tofauti Kikwete kamshika kijana wake mkono kwa pozi lile lile. Mkono wake uko juu na wa kijana upo chini, picha ya pili ndio amemaliza kabisa...na kiwiko amekishika.

Ushikaji huo wa mkono una maana kubwa mnoooo, Kikwete ni bosi wa uyo kijana, Kikwete ana madaraka makubwa juu ya uyo kijana.

Nitarudi hapa kuweka picha nyingine ya Kikwete na Katibu uyu mpya wa chama wakishikana mikono/kusalimiana.

For now let me save some other comments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…