Tuseme tu ukweli CCM kabla ya JPM ilikuwa hoi taabani, watu walikuwa wakivaa sare za CCM wanazomewa mitaani. Leo hii Wana CCM wanavaa sare zao kwa kujiachia bila hofu yeyote.
Bashiru alifanya kazi kubwa ya kurudisha Mali za chama zilizokuwa zimeporwa na wajanja wachache ndani ya chama.
Bashiru amewezesha CCM iweze kujitegemea kimapato pasipokutegemea wahisani katika kuendesha Mambo yake ya chama.
CCM chini ya JPM, Bashiru na polepole imekuwa imara na yenye mvuto zaidi kuliko kipindi Cha kikwete.