Zanzibar 2020 Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru ashangaa watu 12 kujitokeza kutaka urais Zanzibar, adai wengine wanatumika na mabeberu kutaka kuvuruga nchi yetu

Zanzibar 2020 Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru ashangaa watu 12 kujitokeza kutaka urais Zanzibar, adai wengine wanatumika na mabeberu kutaka kuvuruga nchi yetu

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.

Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.

Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.

Msikilize hapa.

 
Huyu dokta anatetemeka nini, kwani haijui demokrasia?

Kumbe pamoja na ujuaji wao wanaogopa makundi, lazima yawapasue tu, na kwenye ubunge ndio itakuwa balaa zaidi, si walifurahia kununua wanadamu wenzao kama mbuzi huku wakichekelea, sasa wajiandae kwa malipo.
 
Hivi huku bara 2015 watia nia ndani ya CCM kugombea urais walivyofika zaidi ya 40 walikua wanatumiwa na wakina nani?Mabeberu au Majike?
Yaani mpaka unajiuliza hivi ukiwa ccm na akili unabadilika,bashiru hajui demokrasia au
 
Back
Top Bottom