Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Jecha ameamua kuwakomesha (anataka deal) kwa sababu hawakurudisha hisani baada ya kuwaondolea dhahama ya Maalim Seif 2015.Gambino,
Ni kweli mtu kama Jecha anataka kuharibu taswira ya nchi yetu kwenye mataifa mengine.
Na huyu nae ana PhD tena ya siasa ?Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
Iharibike mara ngapi?!Gambino,
Ni kweli mtu kama Jecha anataka kuharibu taswira ya nchi yetu kwenye mataifa mengine.
Alijuaje idadi kuwa wako 12 ?Hiyo clip ya Dr. Bashiru ni ya zamani, aliitoa wakati amefanya ziara Zanzibar na ilikuwa kabla hata CCM hawajafungua dirisha la kuchukua forms kwa wanachama wake wanaotaka kuteuliwa kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho. Alikuwa anawakemea kuanza kujipitisha pitisha kabla ya wakati, kwani kwa kufanya hivyo walikuwa wanakivuruga.
Hakuwepkasahau ccm bara 2015 kulikuwa na watia nia 42?!
Kwa akili yake aliona vyama 42 ndani ya ccm?!
Hakuna cha vikao halali huko ccm! Watu wanakuja na majina yao mfukoniHahaha hii inathibitisha kwamba hata bara watia nia ni wengi wanatishwa na yeye mtoa form na mwenyekiti wake.
Kila mwana ccm anayo haki kugombea nafasi yoyote, vikao halali vitachuja.
30 August 2018
12 Mnatafuta Urais Zanzibar! Katibu Mkuu Wa CCM, Dkt Bashiru Ally Amesema Anawajua Wanasiasa na Baadhi ya wanachama Wa CCM Zanzibar Wanaozunguka Zunguka Kabla Ya Muda Kuwania Kiti Cha Urais Wa Zanzibar.
Aah kweli,wanadaiwa hawa na mh jecha kwa aliwatendea uchaguzi mkuu uliopita.Labda alitaka Jecha peke yake ndiyo achukue form.
Huyu jamaa anazinguaHivi huku bara 2015 watia nia ndani ya CCM kugombea urais walivyofika zaidi ya 40 walikua wanatumiwa na wakina nani? Mabeberu au Majike?
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
Nina uhakika Jecha amefuata chenji yake ya uwekezaji aliofanya 2015 kumzuia Maalim kuapishwa urais wa Visiwa vya Karafuu.1. Jecha ameamua kuwakomesha (anataka deal) kwa sababu hawakurudisha hisani baada ya kuwaondolea dhahama ya Maalim Seif 2015.
2. Hussein Mwinyi hakubaliki Zanzibar licha ya kuonekana anabebwa kuwa Makamu II kisha aje kugombea urais wa Muungano 2025.
3. Profesa Mbarawa anayeandaliwa na JPM kuwa Rais wa Zanzibar hakubaliki huko kwa kuwa hana base ya kisiasa Zanzibar.
4. Hao wengine wana-protest mipango ya utawala wa Magufuli kutaka ku-impose surrogate president kisiwani Zanzibar.
Bla bla bla ... kiwango cha PhD alonayo. Ndo maana ujinga ni mwingi mno Tz. Hara kwa PHDs!