Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Washafikia 20 as we speak. Atalia sana mwaka huu huyu jamaa!
Kama naanza kuelewa sasaYajayo yatatuonyesha yanayofichwa
Yajayo yatatuonyesha yanayofichwa
Yeah, hashindwi kitu yule. Anaweza kuweka hata jina la Bashite atasema ni Mzanzibari wa Usukumani!Magufuli akiamka vibaya siku ya mchujo anawafuta wote hao, anaweka jina la anayemtaka
Yaani mpaka unajiuliza hivi ukiwa ccm na akili unabadilika,bashiru hajui demokrasia auHivi huku bara 2015 watia nia ndani ya CCM kugombea urais walivyofika zaidi ya 40 walikua wanatumiwa na wakina nani?Mabeberu au Majike?
Sio anataka alisha haribu siku nyingi, he was a man of the year(election) 2015, history haitamsahau, sasa hivi anaudhihirisha unafiki na ujinga wake.Ni kweli mtu kama Jecha anataka kuharibu taswira ya nchi yetu kwenye mataifa mengine