Zanzibar 2020 Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru ashangaa watu 12 kujitokeza kutaka urais Zanzibar, adai wengine wanatumika na mabeberu kutaka kuvuruga nchi yetu

Kwani walitakiwa watia nia wangapi?

Kama wanamgombea wao tayari si watangaze tu? Hizi sinema zote za nini na kuchukua tu pesa za watu wanazolipia fomu bila sababu?
 
Hivi mabeberu ni kina nani? Au ni kichaka cha kuufichia woga wa amumu hii ya tano?
Maana kila wanachokihofia au kuhisi kushindwa wanasingizia mabeberu.
Yaani hata upungufu wa nguvu za kiume kwa wake zao wanasingizia ni mkono wa mbeberu.
Duh safari hii tutashuhudia mengi[emoji3][emoji3]
 



Asikilize ukweli sio uongo wa Miaka 2 zilizopita! IMEVUJA! Mpo 12 Mnatafuta Urais Zanzibar!
 
Kila mtanzania anahaki ya kugombea hata Kama wangefika milio hamsini bado wanahaki zote Kama alizo nazo mtu mmoja
 
ashangae Huko Bara mgombea mmoja tu, na aseme wazi kuwa hakuna demokrasia,
 
NAULIZA TENA MARA YA MWISHO CCM KUNA MTAMBO GANI WA KUVURUGA AKILI ZA WATU? HUYU DAKTARI MSOMI NA MWALIMU WA CHUO KIKUU ANA TOFAUTI GANI NA MSUKUMA NA LUSINDE? Mbona hii ni aibu kwa familia na Taifa kwa ujumla
 
Nimecheka Sana HAKI YA MUNGU kila mtu kanishangaa... Nipo hospital kuna watu wanaangalia news Aljazeera wamejiuliza ninafurahia maudhui ya taarifa( Egypt threatening to invad Libya) au nimechanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…