Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mabeberu ni kina nani? Au ni kichaka cha kuufichia woga wa amumu hii ya tano?Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.

Mpaka Jana washafika 22 ...😁😎
Kila mtanzania anahaki ya kugombea hata Kama wangefika milio hamsini bado wanahaki zote Kama alizo nazo mtu mmoja
23 mkuu!Mpaka Jana washafika 22 ...😁😎
Nasikia Jecha alikuwa mwenyekiti wa time ya uchaguzi yangu mwaka 1915 -1918Hadi Jecha mazee..... Dah!!??
Watakuwa majike shupaHivi huku bara 2015 watia nia ndani ya CCM kugombea urais walivyofika zaidi ya 40 walikua wanatumiwa na wakina nani? Mabeberu au Majike?
King'amuzi kimeisha bundle imebaki channel moja ya Tbc 1Una moyo wa chuma kuitazama hiyo kitu
King'amuzi kimeisha bundle imebaki channel moja ya Tbc 1
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
yeah...Hadi jana walikuwa 23
yeah...
Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais.
Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini.
Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka kuvunja umoja wa Chama cha Mapinduzi.
Msikilize hapa.
Nimecheka Sana HAKI YA MUNGU kila mtu kanishangaa... Nipo hospital kuna watu wanaangalia news Aljazeera wamejiuliza ninafurahia maudhui ya taarifa( Egypt threatening to invad Libya) au nimechanganyikiwa.Jinga kabisa Hilo , ndo mmpate picha jinsi ya watanzania mlivyo wapumbavu Kwa kuchagua genge la vibaka CCM .
Kugombea ni haki ya mtu , hata kama wagombea wangekuwa bilioni it's none of his fucking business .
Upuuzi Tu kukaa kujisemelesha mavi mavi , mabeberu mabeberu , nonesense .
Vitu vya kijinga jinga Tu . Nyie mshindwe kujenga nchi yenu mkae mnalia like Bitches .