Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Status
Not open for further replies.
eti gazeti gani??? mwana halisi au mwanachadema???hamna kitu hapo "tantalila" zile zile toka enzi hizo mpaka leo bado zilezile tu hambadiliki nyie mwanahalisi??
 
Mashinji na Lowassa HAPATOSHI, atishia kujiuzulu kwa madai hajui nani ni bosi wake kwenye chama kwa sasa!
Anzisha Uzi wako, watu tuko roho juu tunawaza katibu wetu hizi taarifa kama ni kweli wewe unatuletea habari za mashinji na Lowasa...
 
Anafikiri wanafanya vizuri kumbe Wakati huu ndio wameongoza vibaya kuliko wakati wote. Nakubali ccm ndio kipindi chao cha mwisho ichi kuongoza tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom