Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Status
Not open for further replies.
Wewe umelogwa kuna mahali nimeandika kuiba kura? mchango ea mtu kwenye kampeni ni kuiba tu? punguza kiroba jogooo.
Duh elimu yako imefikia kiwango gani kutoelewa maana yangu???? Walionielewa naomba mmueleweshe maana ya msg yangu.
 
Katibu mkuu CCM taifa Kinana anatarajia kujiuzulu mwezi Novemba mwaka huu ambapo mkutano mkuu wa NEC taifa utakaa amesema hayo kufatana na kutoridhishwa na mwenendo wanaofanyika ndani ya chama kutomridhisha.

Alisema muda wingi amekuwa akitoa ushauri lakini haufanyiwi kazi amedai kuwa kuna matatizo mengi ameyafikisha kwenye serikali likiwepo la kusimamishwa ajira waajiriwa wapya walioajiriwa May 2016 lakini halijafanyiwa kazi alidai ameiomba serikali kutatua hatima ya hawa wahanga lakini haijafanya hivyo alisema na migogoro ya watumishi wa umma kuhusu madai hayo na matatizo mbalimbali ambayo jamii inakabiliwa bado hayatekelezwi amedai na amesema hayo ameomba kuachia ngazi ili kuwapa nafasi wengine wajaribu kuongoza hicho chama cha ccm.

Chanzo: Mwanahalisi
dcdb0ef5e5f3ebe3f460df9df758a7af.jpg
Hili gazeti siku hizi halina tofauti na UHURU au HABARI LEO
 
Tatizo ni gazeti ambalo likitoka asubuhi saa 12, ikifika saa 4 asubuhi hiyohiyo unakuta limefungiwa vitumbua!hahahahhaaaaa, haya maisha bhana
Hili gazeti ni kama la The Sun ama News of the world lilomgharimu Rupert Madorch malaki ya pounds kwa kuandika uongo, hapa magazeti kama hili na Uhuru tunayaita "Toilet Rugs" maana yanaandika habari zisizo na ukweli ili kuuza takataka zao. Mwanahalisi ililiandika habari za Lowasa kifasaha sana alipokuwa CCM na watu wa Lowasa wa CCM waliliita takataka, leo limebadilika linamsifia Lowasa yuleyule na watu walewale wa CDM waliounga mkono kuhusu habari za kashfa za Lowasa wanaunga mkono habari za kumsifia Lowasa. Ndiyo ujue dunia inaharibiwa na waandishi uchwara ndiyo maana watu kama kina Donald trump wameweza hata kupitishwa kuwa wagombea urais sababu na matakataka kama haya ya mwanahalisi.
 
Kinana yupo pale pale,ndio kwanza yupo chapter 2 of 26.
Kubakia hapo ili kumsaidia Mwenyekiti mpya Magufuri,na yawezekana atakaa hapo hadi uchanguzi 2020.
Kinana siku zote uitwa wakati kuna matatizo kwenye chama,yule ndio Kingunge wa chama,wala hatishwi na mtu.
 
Kiwango chako.
ungekuwa na kiwango hata nusu ya cha kwangu ungeelewa maana ya sentensi yangu. Hivyo mpaka hapo sina la kusema maana nitajiweka sawa na wewe kuendelea kubishana kama mimi ni darasa la saba wewe nadhani ni umeishia la pili.
 
Kwa hio mnamtumia kama dekio sio?mpk mzidiwe ndio mnamwita
 
Wacha we, mi la pili ndio.
 
Wacha we, mi la pili ndio.
Nakuheshimu kwa kuwa mkweli, labda nikueleweshe maana ya sentensi yangu, sikumaanisha kuwa wewe umesema kuwa ccm iliiba kura bali nilitaka kukufahamisha kuwa Mzee Lowasa anaaminika kuwa ndiye rais mshindi wa uchaguzi wa mwaka jana sasa nilishindwa kuelewa kama inakuwaje kinana alisaidia ushindi wa ccm mwaka jana wakati ccm iliiba kura. sentensi yako ilimaanisha kuwa ccm walishinda kiukweli tofauti ya baadhi ya wengi wanaosema ccm iliiba kura. nadhani nimeeleweka. uwe na asubuhi njema na kazi njema kama hujakumbwa na usomeshaji namba ya magufuli na ccm yake.
 
Kwa hio mnamtumia kama dekio sio?mpk mzidiwe ndio mnamwita
Mkuu Kinana sio dekio yule ndio mwenye majawabu sahihi ya chama,hakuna mwingine baada ya Mzee Kingunge,wapo ambao hawajui umuhimu wake lakini wakikwama haraka haraka anaitwa hata chama kikiwa ICU atakiponya tu.
 
Nakuheshimu kwa kuwa mkweli, labda nikueleweshe maana ya sentensi yangu, sikumaanisha kuwa wewe umesema kuwa ccm iliiba kura bali nilitaka kukufahamisha kuwa Mzee Lowasa anaaminika kuwa ndiye rais mshindi wa uchaguzi wa mwaka jana sasa nilishindwa kuelewa kama inakuwaje kinana alisaidia ushindi wa ccm mwaka jana wakati ccm iliiba kura. sentensi yako ilimaanisha kuwa ccm walishinda kiukweli tofauti ya baadhi ya wengi wanaosema ccm iliiba kura. nadhani nimeeleweka. uwe na asubuhi njema na kazi njema kama hujakumbwa na usomeshaji namba ya magufuli na ccm yake.

ASANTE
 
Hili gazeti ni kama la The Sun ama News of the world lilomgharimu Rupert Madorch malaki ya pounds kwa kuandika uongo, hapa magazeti kama hili na Uhuru tunayaita "Toilet Rugs" maana yanaandika habari zisizo na ukweli ili kuuza takataka zao. Mwanahalisi ililiandika habari za Lowasa kifasaha sana alipokuwa CCM na watu wa Lowasa wa CCM waliliita takataka, leo limebadilika linamsifia Lowasa yuleyule na watu walewale wa CDM waliounga mkono kuhusu habari za kashfa za Lowasa wanaunga mkono habari za kumsifia Lowasa. Ndiyo ujue dunia inaharibiwa na waandishi uchwara ndiyo maana watu kama kina Donald trump wameweza hata kupitishwa kuwa wagombea urais sababu na matakataka kama haya ya mwanahalisi.
ww ni ccm haikusaidii hebu fikria ndugu zako wanavyopata shida ww si upo lumumba
 
bora ajiuzulu...maana kuna ile kitu watu wanamhisi kuhusu maliasili zetu ndo ukweli ndo utajulikana......naamini ndo litafanyiwa kazi
 
Hivi Bado kuna watu wanasoma hilo gazeti??Bado lipo?? Miaka saba ilinitosha kulisoma kabla halijabadili gia kwenye printer.
heri mimi saa 12 asubuhi nimenunua gazeti langu la UHURU nikanunua vitumbua vyangu nikafungia. mambo ya kusoma magazeti mengine mimi aka!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom