Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Status
Not open for further replies.
lumumba italea watoto wako acha ukoloni wa akili
mkuu sina fikra hizo,ila gazeti hilo ukikumbuka miaka kadhaa iliyopita lilitulisha sumu watanzania juu ya mzee lowassa na hilo hilo likaja kuandika mengine na tofauti ya yale waliyoyaandika mwaka 2007,08,

gazeti pekee la kusoma hapa tz na kuamini wanachokiandika japo hata kwa asilimia 60 ni mwananchi,likifuatiwa na jambo leo,mtanzania na nipashe tu,mengine yote hayo yamejaa uzandiki na unafki wa kisiasa
 
lisemwalo lipo
 
kinana ni mtu wa utaratibu,na akiondoka huyo ambaye ndiye muhimili uliobaki wa chama,nina imani ccm itayumba,mtu pekee.anayepamudu hapo ni lukuvi
 
Ila jamani kusema ule ukweli kabisa Kinana ni kiongozi mzuri basi tu...
 
Kinana alishawahi kusema sio sahihi kuita watoto wetu vilazza na pia ule mgogoro wa sukari alitia neno

Hivyo naimani sio mtu wa kuyumbishwa wala kuogopa chochote
Besides alishataka kuachia ngazi ila wao ndio wakamng'ang'ania
 
Ana busara hakurupuki.anafuata utaratibu,sio kuongea maneno meeeengi mpk tushamchoka sasa.
 
mawazo uchwara hayoooooo
Mimi sio ccm lakini ukweli utabaki kuwa hivyo kwa jinsi hii nchi ilivyokuwa imefikia mahali kubaya hata angeshuka malaika bado mngemwona ni mlaghai kuna watu walikuwa wakiishi kama wao ndio Mungu aliowakabidhi hii nchi na familia zao tu wengine tuliishi kama wakiwa tusie na mahali pa kusaidiwa matatizo yetu hii nchi ilifika mahala ukienda ofisi za serikali kutaka huduma ambayo ni haki yetu mtu ulikuwa ukikaripiwa kama mtoto mdogo tena wengine wakitoa lugha chafu na kuonyesha dharau kama vile umeenda kumwomba akuongezee damu ya kukuongezea siku za kuishi,
Ilifika kipindi mama mjamzito akienda kujifungua uhakika wa kurudi yeye na mtoto wakiwa salama ni kama kukutana na tembo posta acheni hizo bana Magufuli karejesha heshima mliozoea kukesha bar mkijua kesho mtapata nyingine za kugonga kutokana na michongo mlioijua nyie sasa hiyo kitu hakunaga na kama kuna michongo ipo ole tusiwakamate mkafanye kazi mpate hela kihalali sio kuishi maisha ya kitapeli tapeli tu ndio maana nchi haiwezi kwenda na kasi ya maendeleo kutokana na kila mtu kujaza mawazo kichwani ya rushwa, wizi na mambo yafananayo nayo,
Mtamwelewa tu we ngoja mahakama ya mafisadi ikamilike vyema ndio mtajua kama yupo seriously hakuna binadamu aliyekamilika hata kama ana mapungufu ukiwa kama mwananchi mzalendo wa Tanzania umeisaidia nini Tanzania kusukuma gurudumu la maendeleo tuache kulialia kwa pamoja tunaweza pepo la lawama na lishindwe tusonge mbele.
 
Lukuvi mwenyewe wameshamvuruga na issue za mkewe ATCL...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom