Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nimecheka asubuhi asubuhi bila kupenda sasa Lumumba watavunja makufuri ama??!Sipati picha JK akifuata NYAYO za Lipumba,maana wote ni MAPROFESA hawa
acha zako ww wa lumumba lisemwalo lipoHabari za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba hakuna ugomvi wala mvutano wowote kati ya Kinana na Rais Magufuli. Na kwamba kinachofanyika hivi sasa ni kile kinachofananishwa na tabia ya fisi ya kuvizia mkono wa binadamu uchomoke ili apate kitoweo, jambo ambalo abadan halitakuja kutokea kamwe. Kwa wasiojua ni kwamba gazeti la MwanaHalisi linamilikiwa na mbunge wa Chadema Ubungo Saed Kubenea. Wakiandika Kuwa CCM kumetulia na kuna amani basi hilo gazeti litakuwa limepoteza sifa ya Kumilikiwa na mbunge wa Chadema. Naamin ndoto hiyo ni ya msimu.
Hizo Habari na za kizushiww kada wa ccm??
Yuko mbioni kufanyaje Kujiudhulu? AAAAH WAPI mtu anaefikiri kwa kutumia Utumbo itakuwaje kwake kujiudhurumengi yanakuja subirini muone naskia hata yule masai mpiga domo wao nae yuko mbioni.....
mzee wa lumumbaaaaHizo Habari na za kizushi
Gazeti lenyewe kwanza MWANAHALISI (mtu kamwagiwa tindikali halafu kaenda tibiwa bure ni shukrani gani anataka,,,)
Huwezi achia pepo halafu ukarudi Uraiani muulizeni Mangula.
Kinana ni mpaka 2017 Novemba atakapomaliza kupanga safu zote kuanzia matawi mpaka Taifa.
kwa sasa muda wa siasa umeisha hata Ole Sendeka anajua na kapumzika.
mpelekeeni Mwanahalisi kuwa hilo chama kubwa ni zaidi ya miaka 10 ijayo kutetereka
labda ACT wanaweza sigea lakini hawa wagonjwa wengine wapo ICU
.....Chama kife tu tuanze upya kwani nini bana!kwanza tunateseka hana habari na sisi.tukiue tu
....Bora hili duduwasha life tu.CCM kufa kwa jina la Yesu kufaaa
lumumba italea watoto wako acha ukoloni wa akiliHILO GAZETI SIO LA KUAMINI HATA NUKTA MOJA,HABARI ZAKE ANAZODAI NI ZA UCHUNGUZI NI ZA KUTUNGA TUNGA TU,BORA WAANDIKEGE HABARI ZA PRESS ZA ALISEMA ALISEMA TU
.....Mtanyooka tu na malaika wenu asie shaurika
Rais Magufuli go hakuna kugeuka nyuma usijekuwa jiwe la chumvi sauti za kukubeza, kukuzomea, kukusengenya zitakuwa nyingi tena zitaongezeka kadri siku sitakapo kwenda lakini nakusihi kamwe usigeuke nyuma huko kuna walaghali, wafilisi, mafisadi, wenye jicho la husda wabinafsi wenye roho mbaya wahujumu uchumi songa mbele kwenye nchi ya ahadi na Mungu atakutangulia amini hivyo.Katibu mkuu CCM taifa Kinana anatarajia kujiuzulu mwezi Novemba mwaka huu ambapo mkutano mkuu wa NEC taifa utakaa amesema hayo kufatana na kutoridhishwa na mwenendo wanaofanyika ndani ya chama kutomridhisha.
Alisema muda wingi amekuwa akitoa ushauri lakini haufanyiwi kazi amedai kuwa kuna matatizo mengi ameyafikisha kwenye serikali likiwepo la kusimamishwa ajira waajiriwa wapya walioajiriwa May 2016 lakini halijafanyiwa kazi alidai ameiomba serikali kutatua hatima ya hawa wahanga lakini haijafanya hivyo alisema na migogoro ya watumishi wa umma kuhusu madai hayo na matatizo mbalimbali ambayo jamii inakabiliwa bado hayatekelezwi amedai na amesema hayo ameomba kuachia ngazi ili kuwapa nafasi wengine wajaribu kuongoza hicho chama cha ccm.
Chanzo: Mwanahalisi![]()