Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Status
Not open for further replies.
Chama kife tu tuanze upya kwani nini bana!kwanza tunateseka hana habari na sisi.tukiue tu
 
Izo habari za uongo tu hakuna kitu kama icho hao mwanahalisi ni wanafiki tu
 
Hivi Bado kuna watu wanasoma hilo gazeti??Bado lipo?? Miaka saba ilinitosha kulisoma kabla halijabadili gia kwenye printer.
 
Duuuuh, hatare...
Nakumbuka kwenye ile ziara ya mheshimiwa aliyoifanya pale lumumba hivi karibuni kwenye vyombo vya habari vya chama mtu nzima kinana alikuwa akipelekeshwa mbaya kabisa sasa kaona isiwe tabu..
 
Duuuuh, hatare...
Nakumbuka kwenye ile ziara ya mheshimiwa aliyoifanya pale lumumba hivi karibuni kwenye vyombo vya habari vya chama mtu nzima kinana alikuwa akipelekeshwa mbaya kabisa sasa kaona isiwe tabu..
Tatizo malaika hana skills za uongozi yeye anajua kua mbabe na kukomoa watu,amri amri ndio uongozi.acha wamwache peke yake.
 
Mashinji na Lowassa HAPATOSHI, atishia kujiuzulu kwa madai hajui nani ni bosi wake kwenye chama kwa sasa!
 
Ukiwa fisadi na mtu wa madili, uwe mbali na JPM. Mwenye macho ambiwi tazama.
Amri amri,ubishi,ubabe,kutesa wananchi,kuzuia ajira kwa vijana,kudharau wenzako,kutaka watu wakuogope na kukusujudu na kukimbilia ndege havina nafasi ktk dunia ya leo.hayo ayafanye ktk familia tu.atabaki yy tu aanze kulalamika anahujumiwa mambo hayaendi.
 
Halafu gazeti kama hili likifungiwa kwa uongo na uzushi kama huu litasema limeonewa?
Nape Kazi kwako limejileta lenyewe kwenye mdomo wa mamba
 
Nauza omo na maji jaman.... Kwa wale wa lumumba bei itashuka kidogo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom