jpmuchwara
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 583
- 511
Bora hili duduwasha life tu.CCM kufa kwa jina la Yesu kufaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Kinana, tuwe wakweli ni jembe. Alisaidia sana kukipa uhai CCM baada ya mtangulizi wake mzee Wilson Mukama kuelekea kumshinda. Hivyo kwa watu makini, lazima wamshukuru sana Mzee kinana, anayebeza labda hana kumbukumbu. Alifanya kazi kubwa na ya ziada. Falsafa yake kubwa ilikua ni mikutano kwa wananchi, na kwa hilo alifanikiwa.Waliondoka waziri wakuu wastaafu na bado tu yeye itakuwa kawaida sana na habari hiyo haitojadiliwa mwezi ukaisha hiyo ndiyo siasa bwana
Hao ni wahanga wa ajira huoni saiv wamepoa?unacheza na njaaLizaboni na wenzako Team Bombardier njooni huku mkanushe kama ilivyo kawaida yenu.
Sipati picha JK akifuata NYAYO za Lipumba,maana wote ni MAPROFESA hawaHakuna mtu wa kuachia ulaji huko ccm, muda wa.Kinana unamalizika 2017 .
Labda JK arudi kuudai uenyekiti wake kama Lipumba ndio inaweza kuwa habari.
LIZABONI NAE HANA AJIRA NJAA TUPULizaboni na wenzako Team Bombardier njooni huku mkanushe kama ilivyo kawaida yenu.
Mtanyooka tu na malaika wenu asie shaurikaHaka kagazeti nakaitaga udaku press. Maana kametumika kumchafua Lowassa akaanza kumsafisha kenyewe. Lazima kaogopwe.
View attachment 415336
KWELI KINANA JEMBEEEETatizo la Kinana ni uchapa kazi
Tatizo la mwenyekiti ni infiriority complex ya kuogopa kufunikwa
Mzee Kinana, tuwe wakweli ni jembe. Alisaidia sana kukipa uhai CCM baada ya mtangulizi wake mzee Wilson Mukama kuelekea kumshinda. Hivyo kwa watu makini, lazima wamshukuru sana Mzee kinana, anayebeza labda hana kumbukumbu. Alifanya kazi kubwa na ya ziada. Falsafa yake kubwa ilikua ni mikutano kwa wananchi, na kwa hilo alifanikiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]Makonda inamfaa hiyo nafasi,,