Siasa za mtaroni za Ccm.Kwani alikashifiwa nini mzee chongolo?
Zilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.Kwani alikashifiwa nini mzee chongolo?
Aika mbeeKaribu Mangi
Ulitaka afanyajeSamia anatufanya Watoto, ana vyombo vyote, inakuwaje unaridhia halafu ndio uchunguze?
Kuna kila ushahidi Chongolo amewaout smart, yani Chongolo yupo mbele ya muda, aibu yao wenyewe.
Ni au si ya kweli?Kwa hii kauli ya Samia maana yake maneno aliyoandika Chongolo jana kuhusu kujiuzulu kwake ni ya kweli,amesingiziwa uongo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Maisha hayawezi simama na ccm ni dude kubwaaaaaaaaaaaaaaaa!(Paraphrase) TView attachment 2828819umepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia. Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika…. (Haya ni maneno ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mambo taratibu ki Godfather,,,.... Hawa wadogo bado kufika hadi kule kwa wakubwa,,, ni kama kila move imepigiwa hesabu za maana, hadi 2025 pataelewekaSamia anatufanya Watoto, ana vyombo vyote, inakuwaje unaridhia halafu ndio uchunguze?
Kuna kila ushahidi Chongolo amewaout smart, yani Chongolo yupo mbele ya muda, aibu yao wenyewe.
Vipi kajaaliwa au ndo kibamia ?Zilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Hii sasa ndiyo CCM ninayoijua mimi.Siasa za mtaroni za Ccm.
Unaujuwa uume wa Chongolo?Zilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Kawaida.Vipi kajaaliwa au ndo kibamia ?