GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Njoo nikuonyesheVipi kajaaliwa au ndo kibamia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikuonyesheVipi kajaaliwa au ndo kibamia ?
Dalili zote zinaonyesha kuwa Chongolo aliwekwa kwenye kilengeo ila kawazidi kete ndiyo maana wanapata kigugumiziKwa hii kauli ya Samia maana yake maneno aliyoandika Chongolo jana kuhusu kujiuzulu kwake ni ya kweli, amesingiziwa uongo, hivyo akaamua kujiuzulu ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Tatizo linakuja, kama issue ya Gekul Samia aliweza kuchukua hatua, jambo linaloonesha alishauriwa na vyombo vyake vya usalama, iweje kwa hili la Chongolo Samia atuambie anafuatilia?
Kwanini asingefuatilia ili kujiridhisha halafu watakapokutana kwenye hiki kikao chao awe na jibu kamili? au Samia anataka kutuaminisha hili la Chongolo linekuja ghafla sana kuzidi lile la Gekul?
Hapa Samia ameamua kufunika kombe mwanaharamu apite, baada ya muda wamteue KM mpya maisha yaendelee, kwa maana nyingine kapigwa bao na Chongolo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana nikatumia neno ''inasemekana''.Unaujuwa uume wa Chongolo?
Hii bongo blaza panaeleweka huku,,,, ukileta mambo ya wazungu huku uswahilini mengine hayafanyi kazi....Surrender tactic imefanya kazi.Aliyemshauri ana akili. Now they feel sorry for him and wanachunguza.
"Surrendering may seem like a sign of weakness, but it can actually be a very powerful move. When you surrender, you are taking away your opponent’s power. They will no longer have the satisfaction of defeating you, and they may even feel sorry for you. This can give you the time and opportunity to regroup and plan your revenge." Law 22
Dude kubwa linalokaribia kuporomoka. Kila chenye mwanzo kina mwisho...Maisha hayawezi simama na ccm ni dude kubwaaaaaaaaaaaaaaaa!
Sawa(Paraphrase) TView attachment 2828819umepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia.
Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika.
(Haya ni maneno ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Hiyo ni sawa na kusubiri nyota ianguke!Dude kubwa linalokaribia kuporomoka. Kila chenye mwanzo kina mwisho...
Mangi kua hapo mbona poa tuDude kubwa linalokaribia kuporomoka. Kila chenye mwanzo kina mwisho...
Kaskazini......... Mbona mambo yanakua mazuri zaidiMacha
Ha ha ha ha haaaaa jidanganye. Watu hawaendeshi nchi kwa hisia,wanasoma haswaaa,dunia hii haina jipya,jifunze tu kwa waliopita na utatabiri matokeo. Yaani hata ukituona tunaimba hiyena hiyena uswahilini kwetu,usipuuze. Zote ni mbinu.Hii bongo blaza panaeleweka huku,,,, ukileta mambo ya wazungu huku uswahilini mengine hayafanyi kazi....
Nimesikia chini chini (rumors) kuwa tatizo la aliyekuwa Katibu Mkuu Chongolo ni ndumila kuwili na alikwishapoteza imani kwa Mwenyekiti, na alikuwa anavujisha siri.Kwa hii kauli ya Samia maana yake maneno aliyoandika Chongolo jana kuhusu kujiuzulu kwake ni ya kweli, amesingiziwa uongo, hivyo akaamua kujiuzulu ili kulinda hadhi yake na ya chama chake.
Tatizo linakuja, kama issue ya Gekul Samia aliweza kuchukua hatua, jambo linaloonesha alishauriwa na vyombo vyake vya usalama, iweje kwa hili la Chongolo Samia atuambie anafuatilia?
Kwanini asingefuatilia ili kujiridhisha halafu watakapokutana kwenye hiki kikao chao awe na jibu kamili? au Samia anataka kutuaminisha hili la Chongolo linekuja ghafla sana kuzidi lile la Gekul?
Hapa Samia ameamua kufunika kombe mwanaharamu apite, baada ya muda wamteue KM mpya maisha yaendelee, kwa maana nyingine kapigwa bao na Chongolo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana timing zake hapa mjini,,,,........Ha ha ha ha haaaaa jidanganye. Watu hawaendeshi nchi kwa hisia,wanasoma haswaaa,dunia hii haina jipya,jifunze tu kwa waliopita na utatabiri matokeo. Yaani hata ukituona tunaimba hiyena hiyena uswahilini kwetu,usipuuze. Zote ni mbinu.
Karibu mangi,ila wale waaaamshaamsha wasilaele wameshapigwa changa la macho kimkakati,commredi kaachia kiti kimkakati na uteuzi wa mwenezi ni wa kimkakati vilevile,kukaba kanda ya nyonyo na ile ya kaskazini,tutarajie mikakati kama hiyo kule kusini,Visiwani,Pwani,kwani nako nyanda za juuu kaskazini na kusini kama haijakamilika yaja🏃.Karibu Mangi