Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

(Paraphrase) TView attachment 2828819umepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia.

Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika.

(Haya ni maneno ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Macha Yuko vizuri binafsi napendekeza apewe ukatibu mkuu wa Chama changu CCM
 
Mangi kua hapo mbona poa tu

Hizi hakina ni habari za alinacha. Nasema hivyo kwa sababu Tanzania rais ni kila kitu na ana uwezo hata kutofanya uchaguzi na akatangazwa mshindi. Kwani Magufuli alihangaika na kura 2020? Si alifanya uhuni na akatangazwa?
 
Surrender tactic imefanya kazi.Aliyemshauri ana akili. Now they feel sorry for him and wanachunguza.

"Surrendering may seem like a sign of weakness, but it can actually be a very powerful move. When you surrender, you are taking away your opponent’s power. They will no longer have the satisfaction of defeating you, and they may even feel sorry for you. This can give you the time and opportunity to regroup and plan your revenge." Law 22
Hiki ni kitabu gani mkuu. Nimependa sana ya maarifa
 
Kwa hiyo Bashite na kukurukakara zake amekosa pia
Screenshot_20231111_190308_Google.jpg
 
Kwani alikashifiwa nini mzee chongolo?
"Genge la Wahuni" litayumbisha sana Chama na Serikali kama vyombo hivyo viwili visipokuwa makini na imara.Ndio upo udhaifu mkubwa kwenye utendaji wa Chama na Serikali,lakini "Genge la Wahuni" will be worse for Tanzania and a nightmare if it seizes power.
 
Back
Top Bottom