Macha Yuko vizuri binafsi napendekeza apewe ukatibu mkuu wa Chama changu CCM(Paraphrase) TView attachment 2828819umepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia.
Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika.
(Haya ni maneno ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya kikao cha NEC kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Hizi hakina ni habari za alinacha. Nasema hivyo kwa sababu Tanzania rais ni kila kitu na ana uwezo hata kutofanya uchaguzi na akatangazwa mshindi. Kwani Magufuli alihangaika na kura 2020? Si alifanya uhuni na akatangazwa?Mangi kua hapo mbona poa tu
2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii. Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti...www.jamiiforums.com
Heeee balaa,ametengenezewaZilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
We poyoyo kuna anaechunguzwa akiwa madarakani?Samia anatufanya Watoto, ana vyombo vyote, inakuwaje unaridhia halafu ndio uchunguze?
Kuna kila ushahidi Chongolo amewaout smart, yani Chongolo yupo mbele ya muda, aibu yao wenyewe.
Mmmh mbna ilinipita hii, khaaahZilivyjishwa chat zake na anayesemekana ni kimada wake, huku akimrushia picha ya uume wake.
Hilo liko wazi miaka yote.....kwakuwa pande zote wanaliana timing acha waswahili tupitie historia. Kitaeleweka tu...it's a game.Kila mtu ana timing zake hapa mjini,,,,........
Hiki ni kitabu gani mkuu. Nimependa sana ya maarifaSurrender tactic imefanya kazi.Aliyemshauri ana akili. Now they feel sorry for him and wanachunguza.
"Surrendering may seem like a sign of weakness, but it can actually be a very powerful move. When you surrender, you are taking away your opponent’s power. They will no longer have the satisfaction of defeating you, and they may even feel sorry for you. This can give you the time and opportunity to regroup and plan your revenge." Law 22
Kwa hiyo Bashite na kukurukakara zake amekosa piaMacha
Inawezekana. Lakini mbona amejiuzulu? Kuna watu zilitoka clip za ukweli kabisa kama kina Gwajima na hawakujiuzulu. Kuna kitu nyuma ya pazia na hicho kitu ni mwenyekiti amemkinai! Akufukuzae......Heeee balaa,ametengenezewa
Nitumie PMNjoo nikuonyeshe
Offside trick,,, ila sio wale wa zenjiHilo liko wazi miaka yote.....kwakuwa pande zote wanaliana timing acha waswahili tupitie historia. Kitaeleweka tu...it's a game.
Nenda X au zamani wakiita Twitter, kuna bwege mmoja anajiita sijui Kigogo media.Mmmh mbna ilinipita hii, khaaah
Kikubwa ni team.... Sio mtu mmoja nmoja......Kwa hiyo Bashite na kukurukakara zake amekosa piaView attachment 2828832
Kimsingi acheze karata zake vizuri dhidi ya Bashite Zerobrain, maana ataanza kumchafua kama alivyomchafua ChongoloMacha Yuko vizuri binafsi napendekeza apewe ukatibu mkuu wa Chama changu CCM
"Genge la Wahuni" litayumbisha sana Chama na Serikali kama vyombo hivyo viwili visipokuwa makini na imara.Ndio upo udhaifu mkubwa kwenye utendaji wa Chama na Serikali,lakini "Genge la Wahuni" will be worse for Tanzania and a nightmare if it seizes power.Kwani alikashifiwa nini mzee chongolo?
Wewe tulia,time will tell. "Il faut donner du temps au temps ".Kwa hiyo Bashite na kukurukakara zake amekosa piaView attachment 2828832
Woiiiiih!!Nenda X au zamani wakiita Twitter, kuna bwege mmoja anajiita sijui Kigogo media.
haa kinaitwa animal farm mwandishi anaitwa somebody orwel . Jina kwanza limenitoka. Hicho kitabu kiliwahi pigwa marufuku kwa baadhi ya nchi , maana kilikuwa kama dhihaka kwa watawalaHiki ni kitabu gani mkuu. Nimependa sana ya maarifa