Katibu Mkuu CCM Taifa, Daniel Chongolo apiga stop "Uchawa" ndani ya UVCCM

Crde chapa kazi
 
Kazi nzuri sanaa,
 
Uko sahihi mkuu KM,
 
Comments za hii mada zinafanana mpaka replies zake, utadhani ni mtu mmoja.
 
Comments za hii mada zinafanana mpaka replies zake, utadhani ni mtu mmoja.
Iliwahi kuuliza hizi comment huwa zinatolewa na Mtu mmoja au ni roboti flani linakua limesetiwa kutoa comment?
Namimi nataka kuandaa kitu kama hiki
 
Ilo atakuwa ameongea tu mdomoni kwa maana limemtoka tu, sasa wanakuona wewe mwenyewe chawa ,alafu unawakataza wao wasiwe chawa ,wataishia kukushangaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…