Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

Ukweli hasa wabunge wanatakiwa kupunguziwa na kukatwa kodi kama wafanyakazi wengine.
Seating allowance au posho ya kikao iondoshwe kwani kuwepo bungeni ni moja ya kazi zao. posho ya kupewa ni ya chakula tuu. nayo iwe chakula cha wastani pale dodoma.

Wafanya kazi wote huenda makazini kwa gari zao wenyewe na kulipia mafuta iweje mbunge apewe gari na pesa za mafuta.
Baada ya kikao wanakwenda kufanya kazi nyingine huko majimboni mwawo.
wabunge wanatakiwa waishi majimboni mwawo karibu na wapiga kura wawo.
 
Hivi ni njia gani rahisi ya kumtimua mbunge mliomchagua? Maaana mbunge anaweza chaguliwa kweli na wananchi baadae akawageuka, inabidi wavumilie mpaka mitano iishe ndio wamtimue kwa kura. Hamna njia ya rahisi na haraka kumtimua anytime?
 
Si aache ubunge,akafanye kazi yenye mshahara/pesa nyingi

Ova
 
Ulishawah kuwa mbunge na ukapokea mshahara? Weka uthitisho hapa
 
Umeamua kuja kujitetea? Achia ngazi
 
Kabisa asee
 
1. Mamlaka ipi inalipa wabunge mishahara ?
2. Nani anaetoa maamuzi ya kiasi cha mishahara wanayolipwa wabunge?
 
Nani mwenye huruma na kodi za Wanyonge? mbona wabunge na viongozi wajuu hawakatwi kodi? kwanini tusianze na watu kukatwa kodi?
Kwani hoja ya Maganga unayo itetea ni wabunge kulipa kodi au kuongezewa mishahara? Mbona unaji- contradict?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Anazunguka Mbuyu wakati jambo ni rahisi tu
 
Nani mwenye huruma na kodi za Wanyonge? mbona wabunge na viongozi wajuu hawakatwi kodi? kwanini tusianze na watu kukatwa kodi?
Simple game....wakianza kukatwa kodi....wataanza kuipandisha mishahara juu zaidi ili wakave lile gap la kodi....kama ni PAYE ya 18% basi wataongeza mshahara ili ile asilimia irudishwe .


Nadhani ni more deadly wakianza kukatwa...bora sasa hivi tunaweza kuwahukumu wasiongezewe mishahara sababu wao ni tax free.
 
Maoni mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…