Katibu Mkuu CECAFA - adai yanga si chochote kujitoa kwao hakutaathiri mashindano,hata wakishiriki wamezoea kubamizwa magoli mengi

yanga nayo aibu tupu.mwaka jana hamjashiliki mashindano ya kimataifa badala ya kushiliki mashindano ya challenge na kujiweka fiti.mnasepa.
 
Bifu la Musonye na Yanga ni la muda mrefu! Naona amekumbuka 2008 tulivyokataa kucheza na mikia! Huwa hatuendeshwi sisi......! Afu wakupigwa 5 wanajulikana asichanganye mafaili!
 
Bifu la Musonye na Yanga ni la muda mrefu! Naona amekumbuka 2008 tulivyokataa kucheza na mikia! Huwa hatuendeshwi sisi......! Afu wakupigwa 5 wanajulikana asichanganye mafaili!
Bao 6-0 kule Morroco umesahau ulikuwa uijui yanga
 
Hata kama mavi ya kale historia haifutiki
Hata mtoto wa miaka 5 ukimuuliza ni timu gani imefungwa 5 ( tena back to back) atakutajia! Achana na hiyo hadithi ya 1998/99, mavi ya kale hayo!
 
Ukiwa kiongozi kwa nafasi yoyote ile busara ni muhimu sana...
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚dongo zito kwa kandambili

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ