Katibu Mkuu CECAFA - adai yanga si chochote kujitoa kwao hakutaathiri mashindano,hata wakishiriki wamezoea kubamizwa magoli mengi

Acha tu Mtani maana nimeishia kutoa likes japo nimekutag sehemu. 😀😀😀

hahaha Jana nakutag baada ya dakika kadhaa nakutana na ban: wapi uko umenitag mbona haijanifikia?

Hamnazo huyu ameona mashindano yanamdodea hapo ndio maana anaongea Pumba.
hahahaha lakini Mimi namuona ana point
Si mnajuaga mnacho kifanyaga mechi za kimataifa?

Alafu nasikia mtoto ajibu tiyari et
 
Sasa Mtani nyie si ndio mmebugizwa tano mara tatu kimataifa Mtani tena juzi tu kwa nini Povu alimwage kwa Yanga.

Ajitathmini zile sio kauli za kiongozi wa Chama cha Soka ambazo waziwazi waeza sema ana chuki na Yanga.

Niseme tu apambane na hali yake na si Yanga.
 
alitaka aharibu road to 15/June/. Watu tuchange bakuli letu. Alafu tukalimalizie Kigali apambane na hali yake tu kwakeli mtani.
 
"Yanga hawakushiriki michuano ya Kagame Cup msimu uliyopita pia kumbukeni wao sio Mabingwa wa Tanzania, hatutawamisi katika michuano hii acha wajitoe hatujali ikiwa watacheza ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu kawaida yao huko ni kufungwa magoli 5-0 au 6-0 isingetusaidia lolote kama wangeshiriki na hatuathiriki lolote kwa kujitoa kwao"

Nicholaus Musonye
-Katibu Mkuu wa CECAFAView attachment 1122822
mimi nawashauri Simba na Yanga wangegoma kushiriki mashindano yoyote ya CECAFA hadi huyu nyang'au atakapong'oka kwenye hiyo nafasi. jamaa ni jeuri sana huyu - kuna wakati alikuwa anaiponda sana Simba na kuisifia Yanga pia. sasa kageuza kibao!

nyambaf!
 
Sizitaki mbichi hizi! Kwa nini alitoa huo mwaliko kama siyo mnafiki huyo katibu wa milele wa CECAFA!
 
Naunga mkono hoja,huwezi kuita timu kubwa kama Yanga eti ni timu ya HOVYO
mimi nawashauri Simba na Yanga wangegoma kushiriki mashindano yoyote ya CECAFA hadi huyu nyang'au atakapong'oka kwenye hiyo nafasi. jamaa ni jeuri sana huyu - kuna wakati alikuwa anaiponda sana Simba na kuisifia Yanga pia. sasa kageuza kibao!

nyambaf!
 
"Yanga hawakushiriki michuano ya Kagame Cup msimu uliyopita pia kumbukeni wao sio Mabingwa wa Tanzania, hatutawamisi katika michuano hii acha wajitoe hatujali ikiwa watacheza ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu kawaida yao huko ni kufungwa magoli 5-0 au 6-0 isingetusaidia lolote kama wangeshiriki na hatuathiriki lolote kwa kujitoa kwao"

Nicholaus Musonye
-Katibu Mkuu wa CECAFAView attachment 1122822
Huyo jamaa Yanga imempuuzia kwa miaka mingi tu na ndiye aliyefanya CECAFA kukosa mvuto.
 
1
Amewapa za uso kama kawaida yake..[emoji23][emoji23]

Halafu nasikia leo hii amewatakia mchana mwema..!
Yanga walimkosea nini Musonye? Au walikuwa na kiburi kwa Cecafa enzi za Manji? Na kama ni hayo mbona muda mrefu umepita? au kuna jingine!
 
Back
Top Bottom