Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
hahahaha lakini Mimi namuona ana pointAcha tu Mtani maana nimeishia kutoa likes japo nimekutag sehemu. 😀😀😀
hahaha Jana nakutag baada ya dakika kadhaa nakutana na ban: wapi uko umenitag mbona haijanifikia?
Hamnazo huyu ameona mashindano yanamdodea hapo ndio maana anaongea Pumba.
Si mnajuaga mnacho kifanyaga mechi za kimataifa?
Alafu nasikia mtoto ajibu tiyari et