mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Simba wamefanya nini tena mkuu? Simba kuwabeba CAF basi mnajifananisha nao,pambaneni na MusyoniSimba wanawashwa washwa sana na Yanga yani hawatulii kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wamefanya nini tena mkuu? Simba kuwabeba CAF basi mnajifananisha nao,pambaneni na MusyoniSimba wanawashwa washwa sana na Yanga yani hawatulii kabisa
Inaonyesha hiyo Cecafa ni mali yake!Kwa nafasi yake kama kiongozi amekosea sana na anaweza shtakiwa kwenye kamati za nidhamu ndani ya shirikisho la soka caf, tff au hata FIFA
Umetisha mkuu[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]View attachment 1122868
Bao 6-0 kule Morroco umesahau ulikuwa uijui yangaBifu la Musonye na Yanga ni la muda mrefu! Naona amekumbuka 2008 tulivyokataa kucheza na mikia! Huwa hatuendeshwi sisi......! Afu wakupigwa 5 wanajulikana asichanganye mafaili!
Hata mtoto wa miaka 5 ukimuuliza ni timu gani imefungwa 5 ( tena back to back) atakutajia! Achana na hiyo hadithi ya 1998/99, mavi ya kale hayo!Bao 6-0 kule Morroco umesahau ulikuwa uijui yanga
Hata mtoto wa miaka 5 ukimuuliza ni timu gani imefungwa 5 ( tena back to back) atakutajia! Achana na hiyo hadithi ya 1998/99, mavi ya kale hayo!
Angeweka historia zote sasa, pamoja na hiyo ya Congo na Misri! Tena hii ndio bado ya moto moto!Hata kama mavi ya kale historia haifutiki
Angeweka historia zote sasa, pamoja na hiyo ya Congo na Misri! Tena hii ndio bado ya moto moto!
Dua la kuku hiyo!Siyo ishu sana mwakani na Nye mtapigwa khamsa
Hahaha Mkuu jamaa kamshika pabaya jirani!!.Umetisha mkuu
[emoji16][emoji16]Choko huyo....
Sizitaki mbivu hizi....
"Yanga hawakushiriki michuano ya Kagame Cup msimu uliyopita pia kumbukeni wao sio Mabingwa wa Tanzania, hatutawamisi katika michuano hii acha wajitoe hatujali ikiwa watacheza ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu kawaida yao huko ni kufungwa magoli 5-0 au 6-0 isingetusaidia lolote kama wangeshiriki na hatuathiriki lolote kwa kujitoa kwao"
Nicholaus Musonye
-Katibu Mkuu wa CECAFAView attachment 1122822