Katibu Mkuu CECAFA - adai yanga si chochote kujitoa kwao hakutaathiri mashindano,hata wakishiriki wamezoea kubamizwa magoli mengi

anaweza sababisha Yanga ikajitoa mazima na haya mashindano wanapata pesa kupitia simba na Yanga wao pekee huwa wanashindwa
 
yanga nayo aibu tupu.mwaka jana hamjashiliki mashindano ya kimataifa badala ya kushiliki mashindano ya challenge na kujiweka fiti.mnasepa.
Kwa timu gani waliyonayo mkuu,ile wanayosajili kila mtu ilimradi ni mnyarwanda,hata kama amekuja kusalimia ndg zake wao wanamsainisha mkataba tu[emoji16][emoji16]
 
Kukosekana kwa Simba au Yanga huwa kunapunguza mapato...

Hivyo Cecafa lazima waweweseke maana mashindano ndio yashakosa timu almaarufu ukanda wa Cecafa...
 
Kama kweli katamka hivi, ni totally un proffesional na wala hatakiwi kushika nafasi hiyo, hata kama angeisema Simba au timu yoyote
 
Huyu mzee amekosa mapato tarajiwa sasa anatoa povu.
Pale Rwanda na Burundi ni timu gani inafanya vizuri CAF kuliko zetu?
Mbona hata Simba tumekula 5 za kutosha na tukatinga robo vipi RAYOR SPORT?
Huyu mzee tatizo sio yeye ila ni huu ukanda kuendelea kumkubalia awe kiongozi wa CECAFA
 
Huyu dikteta ni wa kumpuuza! Anatakaga simba na yanga ziwepo ili apige pesa!
uzuri alishtukiwaa janja yake!
Mpuuzi sana, sasa kama alijua Yanga si lolote kwenye mashindano yake kwa mini aliipa mwaliko, INA maana kwao Kenya alikosa timu za kualika hadi aialike Yanga ambayo haina vigezo. Huyu siku akikanyaga ardhi ya Tz inabidi tumtie adabu kwa mikwenzi ndiyo atajuwa sisi si wa mchezo mchezo akawachezee Kariobangi na sofapaka kwao huko. Nina hasira naye huyu dictator was cecafa
 
mwaliko wa vyura ulikuja kabla hawajapata nafasi ya viti maalumu kule caf,hivyo cecafa waliona kuwa hiki kigenge cha ombaomba kitakuwa cha hapahapa bora wapate fursa ya kwenda nje ya mipaka ya bongo
Tatizo Mikia hujifanya hamna kumbukumbu. Kelele nyingi mkiongozwa na brain wenu Zeruzeru. Sababu za kutoshiriki mashindano ya CAF zilitolewa na Yanga miaka ya nyuma. Mlisemaje wakati huo? Sasa mnatoa sababu hizo hizo "copy and paste" na mnaona sawa.
 
mtani Shadeeya njoo uku kwenye jukwaa letu pendwa ndiomana uko tunapigwa ban
Acha tu Mtani maana nimeishia kutoa likes japo nimekutag sehemu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

huyu katibu mkuu bongo yake ipo juu
Hajuiui sema uongo kama Rais wetu mpendwa maghufuli

Hamnazo huyu ameona mashindano yanamdodea hapo ndio maana anaongea Pumba.
 
mwaliko wa vyura ulikuja kabla hawajapata nafasi ya viti maalumu kule caf,hivyo cecafa waliona kuwa hiki kigenge cha ombaomba kitakuwa cha hapahapa bora wapate fursa ya kwenda nje ya mipaka ya bongo
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…