Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
- Thread starter
- #61
Hajui mali ya yanga ni hiyo aliyobeba.ulitaka iwe mali ya Yanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui mali ya yanga ni hiyo aliyobeba.ulitaka iwe mali ya Yanga?
Kwa timu gani waliyonayo mkuu,ile wanayosajili kila mtu ilimradi ni mnyarwanda,hata kama amekuja kusalimia ndg zake wao wanamsainisha mkataba tu[emoji16][emoji16]yanga nayo aibu tupu.mwaka jana hamjashiliki mashindano ya kimataifa badala ya kushiliki mashindano ya challenge na kujiweka fiti.mnasepa.
Haha kweli mkuuMpumbavu sana huyu alitarajia kupata mapato via Yanga? Asitupangie
Kila mtu ashinde kwake au msemo wenu hamuutakiBao 6-0 kule Morroco umesahau ulikuwa uijui yanga
Hahaha poleni jamaniManeno ya mkosaji
Nakwambia wanamwaga povu Omo inasubiri!!..Hahahaha
Sitaki kujua mapovu ya waana yanga
Sana japo kasema kweliJamaa inaonesha kaumia sana
Mpuuzi sana, sasa kama alijua Yanga si lolote kwenye mashindano yake kwa mini aliipa mwaliko, INA maana kwao Kenya alikosa timu za kualika hadi aialike Yanga ambayo haina vigezo. Huyu siku akikanyaga ardhi ya Tz inabidi tumtie adabu kwa mikwenzi ndiyo atajuwa sisi si wa mchezo mchezo akawachezee Kariobangi na sofapaka kwao huko. Nina hasira naye huyu dictator was cecafaHuyu dikteta ni wa kumpuuza! Anatakaga simba na yanga ziwepo ili apige pesa!
uzuri alishtukiwaa janja yake!
Tatizo Mikia hujifanya hamna kumbukumbu. Kelele nyingi mkiongozwa na brain wenu Zeruzeru. Sababu za kutoshiriki mashindano ya CAF zilitolewa na Yanga miaka ya nyuma. Mlisemaje wakati huo? Sasa mnatoa sababu hizo hizo "copy and paste" na mnaona sawa.mwaliko wa vyura ulikuja kabla hawajapata nafasi ya viti maalumu kule caf,hivyo cecafa waliona kuwa hiki kigenge cha ombaomba kitakuwa cha hapahapa bora wapate fursa ya kwenda nje ya mipaka ya bongo
Acha tu Mtani maana nimeishia kutoa likes japo nimekutag sehemu. 😀😀😀mtani Shadeeya njoo uku kwenye jukwaa letu pendwa ndiomana uko tunapigwa ban
huyu katibu mkuu bongo yake ipo juu
Hajuiui sema uongo kama Rais wetu mpendwa maghufuli
Hahahahamwaliko wa vyura ulikuja kabla hawajapata nafasi ya viti maalumu kule caf,hivyo cecafa waliona kuwa hiki kigenge cha ombaomba kitakuwa cha hapahapa bora wapate fursa ya kwenda nje ya mipaka ya bongo
Anafaa sana Mkuu ni msema kweli acha aendelee tu!!..Huyu jamaa ni katibu mkuu wa kudumu hapo CECAFA na hana mbadala.