Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
hahahaha lakini Mimi namuona ana pointAcha tu Mtani maana nimeishia kutoa likes japo nimekutag sehemu. πππ
hahaha Jana nakutag baada ya dakika kadhaa nakutana na ban: wapi uko umenitag mbona haijanifikia?
Hamnazo huyu ameona mashindano yanamdodea hapo ndio maana anaongea Pumba.
Sasa Mtani nyie si ndio mmebugizwa tano mara tatu kimataifa Mtani tena juzi tu kwa nini Povu alimwage kwa Yanga.hahahaha lakini Mimi namuona ana point
Si mnajuaga mnacho kifanyaga mechi za kimataifa?
Alafu nasikia mtoto ajibu tiyari et
alitaka aharibu road to 15/June/. Watu tuchange bakuli letu. Alafu tukalimalizie Kigali apambane na hali yake tu kwakeli mtani.Sasa Mtani nyie si ndio mmebugizwa tano mara tatu kimataifa Mtani tena juzi tu kwa nini Povu alimwage kwa Yanga.
Ajitathmini zile sio kauli za kiongozi wa Chama cha Soka ambazo waziwazi waeza sema ana chuki na Yanga.
Niseme tu apambane na hali yake na si Yanga.
Kabisaaa. Na ajue huwa kauli ka zile azisahauliki Mtani hivyo ipo siku yatamkuta halafu sie tunamkumbushia. Hapo ndio atajuta.alitaka aharibu road to 15/June/. Watu tuchange bakuli letu. Alafu tukalimalizie Kigali apambane na hali yake tu kwakeli mtani.
hahaha na mlivyo wazee wa fitna mtaniKabisaaa. Na ajue huwa kauli ka zile azisahauliki Mtani hivyo ipo siku yatamkuta halafu sie tunamkumbushia. Hapo ndio atajuta.
Ndio pamoja na Ndemla Mtani. πππAlafu nasikia mtoto ajibu tiyari et
haha si unajua mtoto ndemla alikuwa hana shughuli kabisa mtani;Ndio pamoja na Ndemla Mtani. πππ
mimi nawashauri Simba na Yanga wangegoma kushiriki mashindano yoyote ya CECAFA hadi huyu nyang'au atakapong'oka kwenye hiyo nafasi. jamaa ni jeuri sana huyu - kuna wakati alikuwa anaiponda sana Simba na kuisifia Yanga pia. sasa kageuza kibao!"Yanga hawakushiriki michuano ya Kagame Cup msimu uliyopita pia kumbukeni wao sio Mabingwa wa Tanzania, hatutawamisi katika michuano hii acha wajitoe hatujali ikiwa watacheza ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu kawaida yao huko ni kufungwa magoli 5-0 au 6-0 isingetusaidia lolote kama wangeshiriki na hatuathiriki lolote kwa kujitoa kwao"
Nicholaus Musonye
-Katibu Mkuu wa CECAFAView attachment 1122822
Naunga mkono hoja
Ndio ushangae mkuu,katudhalilisha sanaSizitaki mbichi hizi! Kwa nini alitoa huo mwaliko kama siyo mnafiki huyo katibu wa milele wa CECAFA!
Wanaitwa WA HOVYO FC[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]waoneeni huruma,watani njaa inawatesa bado mnawaongezea mengine.
mimi nawashauri Simba na Yanga wangegoma kushiriki mashindano yoyote ya CECAFA hadi huyu nyang'au atakapong'oka kwenye hiyo nafasi. jamaa ni jeuri sana huyu - kuna wakati alikuwa anaiponda sana Simba na kuisifia Yanga pia. sasa kageuza kibao!
nyambaf!
Huyo jamaa Yanga imempuuzia kwa miaka mingi tu na ndiye aliyefanya CECAFA kukosa mvuto."Yanga hawakushiriki michuano ya Kagame Cup msimu uliyopita pia kumbukeni wao sio Mabingwa wa Tanzania, hatutawamisi katika michuano hii acha wajitoe hatujali ikiwa watacheza ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu kawaida yao huko ni kufungwa magoli 5-0 au 6-0 isingetusaidia lolote kama wangeshiriki na hatuathiriki lolote kwa kujitoa kwao"
Nicholaus Musonye
-Katibu Mkuu wa CECAFAView attachment 1122822
Watani zetu hawamkubali hata kidogo maana amekua mwiba kwao kwa muda mrefu.Anafaa sana Mkuu ni msema kweli acha aendelee tu!!..
Yanga walimkosea nini Musonye? Au walikuwa na kiburi kwa Cecafa enzi za Manji? Na kama ni hayo mbona muda mrefu umepita? au kuna jingine!Amewapa za uso kama kawaida yake..[emoji23][emoji23]
Halafu nasikia leo hii amewatakia mchana mwema..!